Mwanasiasa wa ukweli.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanasiasa wa ukweli....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamageuko, Mar 25, 2011.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  HUWA HASIFIWI, MARA NYINGI HUKASHFIWA... Kwa sababu ya kusema kwake ukweli na kuzisimamia hoja zake.

  Huwa hachaguliwi marafiki, na hutengwa na wale wasiotaka kukubaliana kutokukubaliana.

  Ukiona MWANASIASA anasifiwa-sifiwa! Jua hapo hamna kitu... huyo ni mpenda sifa na siku sifa zikiisha ATATAFUTA PENGINE NA MAHALA PAPYA PA KUPATIA SIFA!

  Siasa za kupambwa na kupamba zimepitwa na wakati... huu ni wakati wa mageuzi ya kifikra, tubadilike na kutafuta mustakabali wa nchi na siasa zetu...

  Vinginevyo,
  Tutaendelea kupambana kwa maua na mashada bila kupatikana kwa tija wala faida katika siasa zetu.

  tubadilike...

  Nawasilisha.
   
Loading...