Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

This thread explains how frustrated this society is.
 
Hizi kura mtazihesabu vipi, Weka sehemu ya kupigia hizo kura
 
Kwa kipindi hiki cha miezi 6 nampa ZITTO
 
John Mnyika is the best kwangu mimi ungenipa nafas 2 bas ningemuweka na Jembe Tundu Lissu but kwa sababu nafas ni 1 naomba hiyo aichukue JOHN JOHN MNYIKA.
 
mkuu hamna tatizo kwani hata kama umewataja 2 kura hizo mbili zitagawanywa kwa kila mmoja maana si ndio umewakubali.
 
Wakuu ahsanteni kwa ushiriki wenu mzuri maana kura zinazopigwa humu ni sample 2 ambayo inatoa taswira kwa wanasiasa wetu kwa jinsi wanavyokubalika humu jf na hata mtaani.
MPAKA SASA MCHUANO NI MKALI SANA MAANA WANSIASA KAMA
prophet lema, jj mnyika, zz kabwe, deo na lissu wanachuana vikali mpaka sasa tena kwa range ndogo inayokalibiana.

PIGA KURA YAKO..
 
Naona unatangaza mpira...unaenda mbali sana unafananisha wanasiasa na mitume.
 
ZITTO KABWE and JOHN MNYIKA are ril the best youth politician, yah frankly they are the best
 
Back
Top Bottom