Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.
Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.
J.J Mnyika ni mwanzo mwisho......huyu Ben Saanane namweka reserve(kichwa changu cha siku za usoni).....kuna mtu kamtaja Willie Malechela, tafadhalini sana tusiharibiane wikend wakuu
Lusinde bana
Kura zilizopiga kwa majina zaidi ya moja zimeharibika. Zisihesabiwe, amri kutoka tume ya uchaguzi ya taifa.
Kama uko serious na kura yako, kuwa specific na definitions zako, mwanasiasa ni nani? Naona wabunge tu hapa ndio wanatajwa, kama ulitaka kusema wabunge, pls sema, ili wanasiasa wengine amabo si wabunge wasidhani kuwa nao wameshindanishwa na wameshindwa. Pia kijana ni kuanzia na kuishia umri gani? Aui ni kijana kwa tabia zake?
Kama ni wabunge wene umri chini ya 40 basi hebu wataje hapa wotena wewe fanya homework kidogo, usijirahishie mambo sana, utaitwa shallow, au mvivu.
My dog wangu!Lusinde bana