Watu wengine bana....hoja inasema utaje mwanasiasa anayekubalika zaidi na jamii, halafu wewe unataka eti Ritz ndio akutajie !
Kamanda Ritz mbona msaga sumu a.k.a saa 9 umemsahau?au yeye sio kijana?