Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

japo umekosea tarehe, mie nampa Nape...maana anasema sana, hata mengine ni bora ya "Lusinde"
 
Lete matokeo mkuu kwakuwa uliahidi kuyatoa jana mpaka sasa hakuna kitu zaidi ya Zitto zuberi kabwe.
 
Wakuu hongera kwa wale wote walinaothubutu kupiga kura.

MWISHO WA KUPIGA KURA ni saa3:00 usiku leo, piga kura yako kwani mpaka sasa mchuano ni mkali sana. Na baada ya hapo mshindi wetu atatangazwa kupitia hapa JF.

lete matokeo mkuu kama ulivyotuahidi mbona kimya tena? Au ni janja ya magamba kusoma ramani ya abiria?
 
KURA ZIMEFUNGWA"
habari wakuu mpaka hapa upigaji wa kura umeishia hapa na shukrani kwa wote waliojitolea kupiga kura zao japokuwa walikuwepo baadhi ya watu walioharibu kura zao,
UKUSANYWAJI WA KURA"
kura zimehasabiwa kwa kila jina la mwanasiasa lililotajwa na matokeo yatatangazwa soon kama ifuatavyo pasipo uchakachuzi wowote.
JIANDAENI KWA MATOKEO LAKINI PUNGUZENI PRESHA KWANZA MSIJE MKAFA BURE.................
 
ww hujui maana ya mwanasiasa? Hujui wanasiasa vijana? Kwa mtazamo wako ww kijana anaishia miaka mingapi? Mi nadhani ww utakuwa ni mmoja wa wanasiasa ambao mpaka sasa wana kura 1 au utakuwa ni mwanasiasa mzee bila shaka.
PIGA KURA YAKO......

thks dear, that explained the topic very well to me!!
 
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.

mnyika na lema:lock1:
 
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.

mnyika,lema,mdee,heche,nasari,wenje.:music:
 
Hey guys, someni maelekezo jamani kwani inamana nyie bado hamjajua matokeo? Hebu acheni uvivu wa kufikri kwani tafuteni thread ambayo imeshatoa matokeo haya na kwa taarifa tu.
1.Joh Mnyika
2.Kabwe zitto
3.Prophet, philisopher,Hero,Kamanda Godbles lema.
 
Back
Top Bottom