Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Dah..., wakuu ina maana chama tawala hakuna kitu? Akina ritz wako wapi wachangamshe jukwa???
 
hivi hatuana matatizo mengine yamsingi tumekalia kutaufa mbunge bora mara mwanasiasa bora halafu tukisha mpata anafaidia vipi au watanzania wana faidia vipi..
 
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.

John Mnyika
 
Hivi hakuna tofauti kati ya Bora na maarufu. Kila mtu maarufu ni bora?
 
Wakuu ahsanteni kwa ushiriki wenu mzuri ktk kupiga kura ijapokuwa bado kuna wahuni na wanaharibu kura lakini sio mbaya"
MPAKA SASA MATOKEO YAPO HIVI:
1 mnyika JJ
2 zitto kabwe
3 Prophet G.lema
4 lissu
5Deo
6Sugu
jamani hiyio ni tathimini mpaka sasa so endelea kupiga kula ili mwanasiasa wako bora kijana aweze kupatikana maana wote wameachana kwa umbali mdogo sana wa kura..
PIGA KURA YAKO.
 
J. Makamba

Nahisi hali ya hewa imechafuka, tumbo langu linavimba!!

Mie nimetapika kabisa kwa misifa huyu jamaa naona kaandika mwenyewe baada ya kuona hawamtaji nani amtaje kama sio yeye na ndugu zake.
 
Ahsanteni kwa ushiri wenu mzuri, jamani kumbukeni hata wanasiasa wa zanzibar unaweza kuwapigia maana na wao pia tunahitaji kura zao. mfano Jussa,Shek farid(kiongozi wa uhamsho), hata kwa hapa bara bado kuna wanasiasa wengi kama WILL MALECELA, DAVID SILINDE,BENARD SAANANE,JULIANA SHONZA,MKOSAMALI, MACHALI,KAFULIA et..
Chaguo ni lako piga kura yako..
 
Zitto kwa hoja nzito maana jamaa akisimama lazima spika atie akili
 
Deo Filikunjombe kwa kitendo cha kutokuwa na imani na PM.
 
Back
Top Bottom