jackson kanene
Member
- Jan 7, 2012
- 92
- 27
g.lemma
Wakuu ahsanteni kwa ushiriki wenu mzuri maana kura zinazopigwa humu ni sample 2 ambayo inatoa taswira kwa wanasiasa wetu kwa jinsi wanavyokubalika humu jf na hata mtaani.
MPAKA SASA MCHUANO NI MKALI SANA MAANA WANSIASA KAMA
prophet lema, jj mnyika, zz kabwe, deo na lissu wanachuana vikali mpaka sasa tena kwa range ndogo inayokalibiana.
PIGA KURA YAKO..
zito kabwe
Leo ni tarh 2/6/2012, na
kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni
bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.
Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu
yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka
sasa.
watanzania msiwe watumwa kwa wanasiasa wenu.... Naona mnawageuza wanasiasa kua mungu mdogo sasa.. Ndo maana kitu akiongea zito kinasikilizwa utafikiri kaongea malaika.. Jamani ebu tulieni sasa na mfanye kazi kwa bidii bado umasikini ni tatizo kubwa sana nchini kwetu tuangalie jinsi ya kuumaliza wenyewe bila msaada wa hao wapumbavu ( wanasiasa) eseccially vijana jamani ....
Angalisho, kuna wanasiasa vijana ambao mazingira waliyo nayo yanawapa nafasi ya kufanya hivyo kadiri ya itikadi zao. Kuna wanasiasa vijana ambao kwenda kinyume cha itikadi za vyama vyao ni ushujaa pekee kwa vile yataka moyo. Kwa mtazamo wangu Deo Filikunjombe amekuwa na ushujaa wa pekee sana kuishoshea kidole serikali ya CCM mara kwa mara bila woga kwa ajili ya kutetea wananchi wa Jimbo lake na Taifa.
Lema, mnyika