Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.
Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.
Mwaka wa serikali unaanza July 1, siyo June 1. Kwa hiyo hata kura ni batili.
hakuna kiongozi mzuri aliyewahi kutokea akawa na nidhamu kwa wadhalimu na wezi wa mali ya uma.
nidhamu katika uongozi ni kwa wananchi na si vinginevyo.
yule aliyekuwa antoa mitusi kule arumeru
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.
Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.
Dk. hamis kigwangalla - alisimamia madai ya madaktari na kupelekwa kamat ya maadili ya ccm
kAKA SWALI HALIJASOMEKA??Sugu,Zitto Kabwe,Heche,Mnyika ni majembe hayo!!