Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Acha wivu wewe wenzako wote wananikubali Lema nimemwacha mbali sana ha ha ha ha.

Wala cna wivu..tatizo unafanya siasa kwenye laptop yako!!! njoo hapa maji ya chai/User river uitishe mkutano wa hadhara mimi ntakukubali sana kama ukifanya hivyo.
 
Yale maji yenye fluoride yanaharibu miguu na akili Mkuu Matugusha hilo eneo si zuri kiafya angalia sasa unamshabikia mwanasiasa aliyekataa dhamana bila sababu za msingi,kakesha mochuari akiombea maiti ufufuo,kaandama meya wa jiji aondoke madarakani badala yake kaondoka yeye and lists goes on..............Kwangu Mimi Lema hawezi kuwa mwanasiasa bora kama Lema ni mwanasiasa bora basi Idd Amin alikuwa mwanasiasa bora.

Ndio sabab nili ichukia CCM wameshindwa kutuletea maji safi na salama, Wameweza kutoa maji akeri hadi kambi ya jeshi monduli lakini sisi wananchi wa Tarafa ya King'ori hatuna maji salama kwa miaka hamsini ya uhuru...je ni halali?

We unafura mwanao anaposhindwa kucheka mbele za watu kisa meno yameharibika wakti serikali inatumia hovyo kodi zetu?

Mkuu inauma sana lakini sijui kama unalifahamu hilo.
 
Mkuu Matungusha,

Pamoja sana unajua hata mimi nina kashamba kadogo hapo Maji ya chai matatizo ya maji yamenilazimisha niliweke shamba langu mnadani.Maji ni tatizo kubwa sana bahati mbaya serekali haina mkakati wa muda mrefu/mfupi wa kutatua janga hili.Baadhi ya wananchi wana kawaida ya kusema maji ni kero kwangu mimi maji ni janga nadhani unajua tofauti ya janga na kero.

Binafsi siipendi serekali ya CCM lakini pia siwapendi wanasiasa wa upinzani wenye sifa za hovyo,pengine hii ndiyo tofauti yangu mimi na wewe.Kuna baadhi ya wanasaisa wa upinzani nawakubali sana laikini pia wapo wanasaisa wa upinzani siwakubali kabisa kwasababu wanatumia mgongo wa upinzani kupenyeza hila zao bahati mbaya wananchi wengi hawana uwezo wa kuwachanganua sawasawa ni wajibu wangu mimi,wewe na wengineo kibao kutoa elimu kwa faida ya watanzania wa sasa na wasiku zijazo.

Ndio sabab nili ichukia CCM wameshindwa kutuletea maji safi na salama, Wameweza kutoa maji akeri hadi kambi ya jeshi monduli lakini sisi wananchi wa Tarafa ya King'ori hatuna maji salama kwa miaka hamsini ya uhuru...je ni halali?

We unafura mwanao anaposhindwa kucheka mbele za watu kisa meno yameharibika wakti serikali inatumia hovyo kodi zetu?

Mkuu inauma sana lakini sijui kama unalifahamu hilo.
 
DEO FIRIKUNJOMBEhuyu jamaa anastahili kwani hawaogopi magamba wenzie hata kidogo.anawapa mapande yaom live bila chenga.
 
mimi nashauri kwa hawa wanao pendekezwa hapa Jf iangalie waliotajwa mara nyingi then waingie kumi baora na kupigiwa kura.Kwaupande wangu ni Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom