Pamoja na hilo mkuu, pia haitachukua dk watapigana wao kwa wao (wapemba na waunguja). Unajua shida ya zanzibar, wanasiasa (huku wakiweka mbele maslahi yao) wameishapandikiza chuki kwa wananchi wa wakawaida kuhusu muungano. Wameishawajengea too much expectations ambazo watapata pindi muungano ukivunjika. Ukitaka kuamini kinachokisema hapa ongea na wazanzibar wa kawaida, hata wachache tu, utasikia maisha wanayotegemea pindi zanzibar ikibaki peke yake. Yaani wanasiasa wa zanzibar wanawadanganya kweli wazanzibar!!!!
Mi natamani waachie ka-nchi kao, halafu wapemba sijui nani hao wote walioko bara waondoke, waje bara kwa visa. Halafu kila kitu tuwakatie (umeme, mkaa, mchele n.k), tuone kama hawajawa watumwa wa waarabu.
haijalishi, lakini si wako huru, wacheni kuwanga'nga'nia