Tanganyika kaeni tayari kufanya uchaguzi ,ili mupate raisi wenu mpya ,raisi wa Pili wa Tanganyika baada ya Nyerere.
Na sifikirii kama kapasua bali amelikamua jipu ,kwani jipu lishapasuka zamani sana ilikuwa bado kukamuliwa.
Kwa akili yako unaamini kabisa kuwa Tanganyika wana inaihitaji sana Zanzibar kuliko Zanzibar inavyoihitaji Tanganyika?
Naamini kabisa kuwa Zanzibar itakapokuwa Jamhuri kamili, mtajua jinsi Tanganyika ilivyo muhimu kwenu. Itazameni Comoro, mko sawa sawa.