Mwanasheria mkuu zanzibar apasua jibu kuhusu muungano muda huu

Vuta subira kesho baraza linatangaza mgogoro wa muungano. Soma thread vizuri wewe. Chukwani tomorrow there we shall be assembled to bare witness.

Hakuna baraza litakalotangaza mgogoro nchi hii. Hawa wajumbe wa baraza ni wanafiki tu wanaolilia matumbo yao na wala hawawakilishi matakwa ya wananchi wa kawaida.
 
Tanganyika kaeni tayari kufanya uchaguzi ,ili mupate raisi wenu mpya ,raisi wa Pili wa Tanganyika baada ya Nyerere.

Na sifikirii kama kapasua bali amelikamua jipu ,kwani jipu lishapasuka zamani sana ilikuwa bado kukamuliwa.
Kwa hiyo kama hakuna muungano huyu raisi tuliyenaye wa muungano hayuko kahalali, tujiandae kufanya uchaguzi wa raisi???
 
Muungano hauna faida yoyote kwa waTanganyika waZanzibar wamejazana Tanganyika utadhani nzi wameona kinyesi siku ukivunjika walahi Zanzibar haitakuwa na sehemu ya kupumulia.

 
yani Tundu lisu akiongea ukweli wanang'aka.Sijui watasema uongo mpaka lini.Yani hawa ccm sijui bila muungano hawawezi kuishi?cjui wanafaidika nini na muungano?Wengine ni wanafiki tu wanaona wakisema hawataki muungano watashughulikiwa.I hate huu muungano.
 
Zanzibar, yani Unguja na Pemba, inaingia Newala na Masasi mara tano!

Newala na Masasi ziko Mtwara, Mtwara is the smallest region in Tanganyika next to Dar-es-Salaam. Sasa utaunganishaje nchi mbili ambazo moja inaingia kwenye wilaya za mkoa mmoja wa nchi nyinyine mara tano? Lazima mmoja amezwe au mwingine abebeshwe mzigo wa kulea ka-wilaya kama nchi.

Sasa ukubwa wa nchi una nafasi gani katika majadiliano haya? Tatizo ni kwamba Wazanzibari wanataka - na Watanganyika tulivyo na maji ya madafu vichwani tunakubali- kwamba Zanzibar ipewe hadhi ya uzito sawa na Tanganyika katika Muungano. Well, haiwezekani, Tanganyika tunanyonywa. Nafasi za masomo, nafasi za kazi, nafasi za uwakilishi za ubunge, nafasi za viongozi wa juu, mabalozi, mapato ya nchi, na kadhalika, hatuwezi tukapeana sawa kwa sawa na eneo moja linalofanana na wilaya! Hakuna haki na usawa hapo. Ni gharama kubwa mno kwa Tanganyika, Zanzibar is not worth that much!

Haki tunayoidai ni moja, tutaisema bila kujiuma ulimi, na ambayo tuko tayari kwa lolote kuipata, tena kuipata sasa hivi, kwamba kila upande uwe ni dola huru yenye mamlaka yake kamili.
"Jambao usilolijua ni kama usiku wa kiza"
Huu Muungano unang'ang;aniwa na CCM.Kumbuka nje ya muungano hakuna CCM.tuna rudi kwenye TANU na ASP.na jamaa wanajua muungano ukivunjika ulaji umekwisha.Itabidi wakisajili upya chama chao,hapo automatically CDM wanachukua nchi,kwani itawawia vigumu kurudi vijijini na kuinadi TANU watu wakaielewa.Lakin jambo la pili naloliona hapa ZNZ wameishashtuka kwamba 2015, kuna uwezekano CCM isichukue madaraka,hawako tayari kuongozwa na CDM ambapo maslahi yao na CCM yatakua yamekwisha rasmi,hivyo wanataka kuiwahi nchi yao mapema.
 
wanajf nimekumbuka jambo moja muhimu sana kwa watanganyika.huu muungano ukivunjika tutakua na sababu muhimu kubwa ya kureview mikataba yote mibovu ya madini.Ikumbukwe hii mikataba yote imesainiwa na serikali ya Tanzania.
 
Account ya pamoja, Zanzibar inataka kuchangia kiasi gani kwenye hiyo account ya pamoja wakati hata bill ya umeme inawashinda?

Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ana uhakika kwamba rais hamkushirikisha makamu wa rais kwenye uteuzi wa mawaziri?

"1. na hata Zanzibar tukichangia je Tanganyika nayo itachangia kiasi gani? au Zanzibar + Tanzania (Tanganyika ipo wapi?)
2. hata kama kamshirikisha ni kwa mapenzi yake tu, katiba ya muungano haijamtaja makamu wa rais kushirikiana naye ila imemtaja waziri mkuu, ndio akatoa usemi "hawara harithi"
 
UHAMUSHO ni kundi mahususi limewekwa na serikali ya Visiwani kufikisha ujumbe BARA.
Msishangae kuona hawa wanandoa (CCM + CUF) wanakimbilia UHAMUSHO na kubadili jina na kuwa chama kipya cha siasa (UTABIRI WANGU) ili kuanzisha vugu vugu lililopotea baada ya hii ndoa ya mkeka.
 
Mmm, hivi huyu si ndiye alimkejeri sana Dr Tundu Lisu tena kweny kikao hikihiki kinachoendela cha Bunge? mbona hawa watu ni Double standard sana, wadau hii imekaaje, au leo ndo kaona muungano haupo?
 
hivi hili suala la muungano mbona limekuwa gumzo kiasi hiki kwani tatizo nini mimi naona wale tuliozaliwa miaka ya themanini kuna kitu bado hatujakielewa tunaomba mtuhabalishe zaidi na zaidi ilitupate walau cha kuchangia cz kila siku kunaibuka jipya lakini halina maelezo ya kujitosheleleza ni kitu gani hasa ambacho kimejificha nyuma ya pazia

naomba sababu tano tu ambazo mnafiliri muungano uvunjwe

1...........................................
2. ..............................




5.......................................
 
Mwiba mimi UDP,Siutaki muungano hasa na wazanzibar ni watu hatari na wabaguzi sana,.nausubiri kwa hamu uvunjike.mume wangu mpemba wa asili ya kiarabu lkn ajabu siku moja namuuliza mbona unaenda kufungua duka wkt leo sikukuu yenu ya mapinduzi?akanijibu mimi sisherehekei sikukuu ya WAUAJI,.hapo ndo nikajua wazanzibar wenyewe hawapendani pia ingawa hawaonyeshi...mi nasubiri warudi kwao tu nimiliki maduka!!
 
hivi amesema ukweli au ametoa maoni yake mbayo wewe unayaunga mkono?
mimi naona kuwa muungano upo ila una matatizo ambayao yanatakiwa ufumbuzi hauwezi kuwa ni kiini macho kwani unayambulika dunia nzima na una utaratibu wake
 
Ni bora muungano uvunjike nitafurahi sana mimi nimekaa unguja mika kumi nawajua wazanzibari vizuri sana ni wabaguzi sana kwetu huku wanakaa bila shaka kama ndugu kwao utawasikia baamkwe kutahama hapa si penu hawana maana hata kidogo angalia hata wakipanga kwenye nyumba yako hawataki kushea chochote hata choo wanataka cha peke yao.
 
Wakristu wenye makanisa ya Zanzibar ni kina John Ramadhani, Matias Abdallah, Suzana Makame Haji, Agustino Ramadhani, mwataka kuwatimua ndugu zenu kwa sababu ya itikadi yenu mbaya? au hujui hata Iraq kuna wakristu? Mkiwafukuza wakristu tutawapokea kama wakimbizi wanaokimbia machafuko ya kidini Zanzibar halafu tuone hou uanachama wa UN kama mtaupata hata mkigawa tigo.....kwa watalii......
Hao sio wazenj hayo ni mapandikizi ya muungano.
 
Mbona viongozi wetu wanang'ang'ania mambo yasiyowezekana? Huu muungano ukivunjwa haitakuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo. Malaysia na Singapore ziliungana lakini muungano wao haukuchukua hata mwaka mmoja ukavunjika lakini mpaka leo nchi hizo zinasonga mbele kwa maendeleo mazuri mno.
 
hivi hili suala la muungano mbona limekuwa gumzo kiasi hiki kwani tatizo nini mimi naona wale tuliozaliwa miaka ya themanini kuna kitu bado hatujakielewa tunaomba mtuhabalishe zaidi na zaidi ilitupate walau cha kuchangia cz kila siku kunaibuka jipya lakini halina maelezo ya kujitosheleleza ni kitu gani hasa ambacho kimejificha nyuma ya pazia

naomba sababu tano tu ambazo mnafiliri muungano uvunjwe

1...........................................
2. ..............................




5.......................................

1. Zanzibar ilikuwa ni nchi kamili, haikuungana na tanganyika ili kuuwa utaifa wake.

2. Lengo la tanganyika ni kuimeza zanzibar, isitambulikane kimataifa.

3. Nataka heshma ya taifa langu zanzibar irudi, rais wangu atambulikane kitaifa/kimataifa

4. kulinda utamaduni/silka/hulka zetu zinazotutambulisha kama sisi ni waZanzibari

5. sikubali kama huu tulonao ni muungano, wala halikuwa lengo la Shk Karume kuwa na muungano wa aina hii, yeye alitaka muungano wa mkataba, bali nyerere alimtumia hadaa .... ... na mengi mengineyo .....

Jamhuri ya Watu wa Zanzibar Kwanza!!!
 
Hao sio wazenj hayo ni mapandikizi ya muungano.

Hao unaowaita mapandikizi wa muungano ni watoto wa vijakazi vya kazanzibari vilivyobakwa na mabwana wa kiarabu kisha kutupwa majalalani na kulelewa na makanisa (sio misikiti). Na kwanza tusiende mbali, wazenji woooooote ni vijukuu vya watumwa kutoka Tanganyika na Congo. Kasome tena historia
 
Mwiba mimi UDP,Siutaki muungano hasa na wazanzibar ni watu hatari na wabaguzi sana,.nausubiri kwa hamu uvunjike.mume wangu mpemba wa asili ya kiarabu lkn ajabu siku moja namuuliza mbona unaenda kufungua duka wkt leo sikukuu yenu ya mapinduzi?akanijibu mimi sisherehekei sikukuu ya WAUAJI,.hapo ndo nikajua wazanzibar wenyewe hawapendani pia ingawa hawaonyeshi...mi nasubiri warudi kwao tu nimiliki maduka!!

Kati ya wanawake wa hovyo wewe unaongoza! Akili yako iko kwenye kamiliki usivyovitolea jasho! Huu muungano ukivunjika both sides will be affected, heavily.

Iwapo mnategemea kupata mali za wazenji walioko bara, wewe utakua punguani ukidhani znz na udogo wake hakuna wabara waliowekeza kule, kuanzia biashara ya machinga, tingatinga hadi kwenye mali zisizohamishika.

Wabara wenye ubongo wa ndege ndio wenye mawazo ya kupata vya dezo, but think twice, hata mkivunja muungano ndio tuseme sheria ya tanganyika itakua silent kuruhusu mjichukulie tu kila kinachomilikiwa na wazanzibari walioko bara?

WanaJF wote kuweni makini na maoni mnayotoa coz madhara yatayotokana na uchochezi kupiitia forum hii, hayatabaugua! Wapuuzi wengine walidhani meli zilizozama waliokufa ni wazanzibari pekee, bt wengine waliumbuka walipogundua ngd zao wa kutoka bara ni miongoni mwa waliokufa.

Chezea Mungu wewe! Wapalestina na udhaifu wao lakini bado wanamtesa Muizrail pamoja na kusaidiwa na nchi za magharibi. Usijiamini sana na ukubwa wa tanganyika!

Sishangai kusikia kwamba hata wale wanaotambia utanganyika wao kumbe si watanganyika but ni zao la historia ya zama za manamba ambao miongoni mwao walitoka msumbiji, tunduru wengine wakafika bagamoyo na zanzibar!

Someni historia then think about breaking the union!
 
muungano kwetu ni changa linalosubiliwa kulipuka wakati wowote hata sisi watu wa Tanganyika baadhi yetu tunaomba sana uvunjike maana hatuna hasara yoyote labda kwa viongozi walioko madarakani kwa sasa.
 
Back
Top Bottom