Mwanasheria atekwa, apigwa, aachwa porini

Mwanasheria atekwa, apigwa, aachwa porini

Status
Not open for further replies.
Huvisa,Kova LAO MOJA! Wanataka kujenga mazingira kuwa suala la huyu Mwanasheria, ambaye hawasemi kama kajeruhiwa ama la, ni sawa na suala la Dkt Ulimboka. Kama ni kweli Waziri anatishiwa maisha, basi HAWA NI WATU WANAOBOMOLEWA MAHEKALU YAO MAHALI PASIPOFAA, ambao Waziri mwenyewe aliwapa VIBALI kujenga huko. Sasa analia nini?
 
TISS and the old fassioned tactics! They want to drift attention from ulis? we are about to get fedup wz this killers!
 
Nakemea vitu viwili na sheria ichukue mkondo wake (1) Serikali iwafidie wale wote waliobomolewa wakiwa na vibali vya serikali - katika kuwajibika ili serikali iwe makini (2) Wale wote waiozembea hata ujenzi ukaendelea na hata kuotoa vibali vya bandia kwa kujua au kutokujua (a) washitakiwe na (b) ikiwezekana wawafidie waliobomolewa (2) Wale wote wanaochochea vurugu baada ya kubomolewa washitakiwe.

Kama fundisho kwa baadaye serikali za mitaa kuanzia sasa wawajibike kwa ujenzi holela usio a kibali cha serikali.
 
Nahisi kuna agenda ya siri vile! Anataka tuamini kwamba Mwanasheria amepigwa na watu wenye hasira ya kupoteza nyumba zao hivyo na Dr. Ulimboka alitekwa na watu wenye hasira ya kupoteza ndugu zao. Nahisi haya ndo mazingira yanayojengwa!!!
aisee jamaa unaakili sana! yaani kweli serikali ndio mbinu wanajaribu kutumia ili wananchi tuamini kuwa utekaji wa Dr. ULI ulitokana na wananchi1! Hawatupati ngooooo!
 
Utamwona mr. Mambo ya ndani anavyotetea kesho hiyo issue, yaani wenye macho yao wanaona tu kuwa kuna ajenda nyuma ya mauaji hayo.

Tangu aingie madarakani huyu mambio ndio hayo. je hadi aje atoke hapo si tutakuwa tumefukuza watalii wote na tumewapoteza raia wengi.

Mungu tunusuru na huyu mtu
 
Kwanini wasiji organise wakaenda mahakamani? Magufuri kwa ubabe aliwahi kubomoa kituo cha mafuta Mwanza cha Mansour, kwamba kilikuwa kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara WHICH WAS TRUE ANYWAY.

Lakini Mansoour alikuwa na vibali halali vya kiwanja na ujenzi kutoka halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Baada ya Mansour kubomolewa kituo chake cha mafuta akaenda mahakamani. Matokeo yake ikabidi halmashauri ya JIJI la MZA imulipe FIDIA Mansour Tsh. 5 biliion pesa ya walipa kodi wa MZA.


Ajabu ni kwamba wale wote walitoa vibali hivyo including Eng. Tizeba akapelekwa kuwa DC Sikonge. Leo Eng. Tizeba ni Naibu waziri, anaendelea kutunukiwa vyeo kwa kazi nzuri aliyoifanya.

Dawa ya UPUMBAVU huu ni kuiondoa CCM madarakani, lakini bado kuna Watanzania hawaamini. sasa Ngoja mahekalu yenu yabomolewe na CCM. Usishange mwakani sehemu hiyo hiyo MAHOTELI YA NYOTA 5 Yakajengwa!
 
Hii ni hatari!! Nchi imekosa usalama wa taifa

usalama wa taifa umegeuka uhasama wa taifa,ndio wanatesa raia wema wanatumika na utwala huu dhalimu, ovu damu hizi zinazomwagika zinalia toka ardhini ole wenu zikimfikia mungu!!
 
Nchi sasa ina organized criminals who must be apprehended by the state machineries in order to restore confidence to the sitting government.

The state machinery has turned into organized criminal organ!
 
Katanzania kalikuwa kanchi kenye amani, sasa hivi kananuka UGAIDI it seems kuna watu kwa sababu ya ufukara, wanafanya ujasiriamali wa kuteka watu na kuwasulubu.
 
hawa waofanya huu utekaji! ku***** wasiombee siku washtukiwe na raia afu wakawaunganishia, lazima watatujua ss nani! mana ishakuwa uuuuu....! nchi haina usalama hata kidogo kwa sasa!
 
TISS and the old fassioned tactics! They want to drift attention from ulis? we are about to get fedup wz this killers!

huu ujinga mwingine ni wa watoto(polisi) wanatumiwa na wenye pesa! kukomoa watu! sasa ishu kama hii ya ubomoaji, si dhahiri kabisa vigogo wenye pesa wametumia vikosi flani humo ndani ya jeshi la polisi! alafu wakuu wanavuta pesa! wanakuja kutudanganya! mkuu wa polisi hata kuongea na vyombo vya habari hajui eti! huu si upuuuuuuuuzi kaka!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom