......"mwanao ana mimba..." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

......"mwanao ana mimba..."

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by david mkwizu, Aug 5, 2011.

 1. d

  david mkwizu Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama mmoja alimpeleka mwanae hospitalini ili dokta akamfanyie uchunguzi na kubaini ni nini kilichofanya awe na uvimbe tumboni
  ilmchukua dokta sekunde mbili tu kugundua na kusema.."
  mama hebu usinishangaze inamaana hujui kua mtoto wako anamimba..!?.. mwanao ana mimba..!"

  mama akaja juu na kuanza kumwambia dokta.." mwanangu ni mtulivu wala hua hajichanganyi na wanaume haiwezekani akawa na mimba labda wewe ndio hujui kazi yako vizuri ya udaktari..!"

  ghafla dokta akageukia kwenye dirisha akiangalia upande wa mashariki jua lianapotokea....

  mama akawa na hasira zaidi akamwambia.."
  acha kuangalia dirishani inamaana ninachoongea hapa wewe hukitilii maanani"

  dokta akamwambia mama..."mara ya mwisha hicho kitu kilipotokea ilionekana nyota upande wa mashariki na wakaja mama~jusi... sasa ninasubiria labda waje ili tuweze kupeana mawazo kua aliempa mimba mwanao ni nani..?
   
 2. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh! David unautan na wazaz wanaowaamin sana bint zao, ila kuhusu nyota ya mashariki.
   
 3. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kweli mara ya mwisho ilikuwa kwa yesu tu kila mimba siku hz ina mpenyezaji wa kibaiolojia
   
 4. K

  Karry JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  duh hilo jibu kali
   
 5. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kweli doctar genius,hapo mwenye binti anajiona boya hadi mwisho!
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mh sijashangaa!!
   
 7. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hajafu ikawaje?
   
Loading...