EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,684
uswahilini kuna raha yake,napenda sana maisha ya kuchanganyika na watu kuliko maisha kama ya jiwe huwezi hata toka kwenda kuangalia dunia iakwendaje we ni kufungiwa magogoni tu

nawe unapenda maisha kama ya jiwe?kweli wewe ni evil spirit