Mwanangu Zamda simuelewi kabisa

Mwanangu Zamda simuelewi kabisa

Mnunulie kitabu cha prof. Wolle Soyinka chenye tittle hii.IF YOU GET PREGNANT,PREPARE TO GET MARRIED kitamfaa
 
Io tabia kaitoa kwa mmoja wa wazazi wake mtoto hawez kujiokotea kipaji kama mzaz usiweke bifu na mtoto au usitumie nguvu sana kumtreat mfanye rafiki atakueleza yote na itakua rahisi kumshauri
 
habari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Tulieni leeni mimba,akizaa atatulia. Pole sana bibi mtarajiwa.
 
habari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Haka katoto ulikosea kukapa hilo jina! Anyway kakizaa katatulia,we kapige msoto wa kishikaji.
 
Kwa huu mwandiko wako hapa, zamda nimemuelewa kabisa. Hongera bibi.
 
ndo watoto wetu sasa tutafanyaje

mtoto akinyea mkono utaukata
 
habari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Atajuta baadae maana majuto ni mjukuu
 
Mama Zamda huyo ni mwanao na ukimsusa roho itakuuma wewe, Maji yameshamwagika sasa hayazoleki mwacheee anza kumpeleka clinic ya wajawazito akijifungua baada ya miezi 6 bibi lea mjukuu mtafutie bint shule ya bordng mbali akarudie kidato cha tatu na umwambie akacheze tena au akasome kwa ajili ya maisha ya mwanae. hapo swala la baba mto sahahu alys malaya hajui mimba ni ya nani haswaa mpk ntoto azaliwe aanze kufananisha. Akirudi shule atasoma balaa kama katumwa na serikali ya chama kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake baada ya miaka michache utarudi hapa ukitualika mwanao Zamda anagraduet univarsty. Kazana kwa kizazi chako maana maisha mabaya utakayomwachia mwanao sasa ni kumwandalia urithi wa shiida na taabu za milele na huyo mjukuu nk utabwagiwa ulee
 
Hapo ndio mwisho wa mapepe...maziwa kugeuka malapa,mvuto Ku "depreciate" na soko kuporomoka....haitaji tena maombi manake vidume wenyewe hatumtaki tena tumamwachia baba mtoto
 
habari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Huyo mama inaonyesha hajiheshimu ana mahawara na binti anajua. Hili ni funzo kwa akinamama wote jaribu kuwa msiri na mtoto, usimfanye shoga atakuumbua
 
Zamda karithi huo umalaya hivyo sio kosa lake....si wajua vyakurithi vinazidii sasa sijui amechota umalaya wa mama zamda au baba zamda
 
15 yrs unamwita malaya! Huyo ni mtoto bado ameharibiwa tu pengine hukuwa mwangalifu wakati wa makuzi na malezi yake! Hujachelewa mpeleke boarding za islamic ambako kuna strict rules atanyooka tu! Usikubali akushinde 15 yrs bado ananyoosheka! Lkn lazima umbadilishie mazingira usikae nae home mpeleke boarding
 
Hawa watoto wa kike malezi yao ni magumu, wengine ni wasiri mno mpaka unakuja kuona tuombo,
hapo ni kulea tu mjukuu hakuna namna.
 
Zamda karithi huo umalaya hivyo sio kosa lake....si wajua vyakurithi vinazidii sasa sijui amechota umalaya wa mama zamda au baba zamda
Mngh!, ukipata watoto nadhani hutokubaliana na hii kauli yako mkuu
 
Ni mtoto wako wa ngapi?, ulimleaje?, amemlea mwenyewe, au?. Zipo sababu zinazoweza kusababisha mtoto kuwa hivyo alivyo, kubwa sana ni malezi mabaya tangu utotoni, urithi ni kwa kiasi kidogo sana. Mtoto anatakiwa kudhibitiwa tangu utotoni. Anyway imeshatokea, usimtenge ni mwanao, mlee malezi mazuri tu pamoja na ujauzito wake, kaa nae mara kwa mara kuzungumza nae kirafiki kwakuwa tyr anatarajia kuwa mzazi, hopeful atajifunza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom