Mwanangu Zamda simuelewi kabisa

Mwanangu Zamda simuelewi kabisa

watoto kama hao dawa yao ndogo(ila inahtaji UKAUZU WA MTOA ADHABU)
1.andaa pesa kdogo kampangishie chumba
2.mlipie kodi miez4 au 3
3.mruhusu atoke na ktanda na godoro lake pale home
4.hakikisha amepanga mbali na wewe mwendo wa nauli takriban buku3 including bajaj au bodaboda
5. USIMFUATILIE TENA TOKA CKU UTAKAPOMKABIDH HICHO CHUMBA..
6. then subir matokeo unipe mrejesho..
 
ndio hivo maji yakimwagika hayazoleki tena, chakufanya tushirikiane kuomba miez 9 zamda amalize salama.. kisha tufate hatua nyingine.
 
vipo kibao tu sister, ingia tovuti ya nacte utapata orodha yao
 
Habari zenu,

Nimejiunga JF kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto Zamda, anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa DSM, lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona, nimemkataza saaana na kumuonya lakini hakasikii, nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe wapi, leo kamefukuzwa shule kana mimba, nimeshindwa hata cha kufanya wadau.

Ushauri wenu

NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Mapenz yana run dunia.....huyo mtoto lazima atakuwa karithi hayo mambo kwa mzazi wake mmoja. BTW poleni sana maana alichokitafuta kakipata huwenda alikuwa na hamu ya kubeba mimba au alikuwa anajaribu kama anauwezo wa kushika mimba
 
Mapenz yana run dunia.....huyo mtoto lazima atakuwa karithi hayo mambo kwa mzazi wake mmoja. BTW poleni sana maana alichokitafuta kakipata huwenda alikuwa na hamu ya kubeba mimba au alikuwa anajaribu kama anauwezo wa kushika mimba
Watoto wa kike wa siku hizi ni kumuomba mungu tu.. ndio maana tunasema tumrudie mungu wetu tuishi kiimani tuzilee familia zetu kwenye maadili ya hofu ya mungu kunasaidia sana kuepukana na mambo hayo lakin maisha tunayo ishi na ya kidunia mno so laza hiyo hali itokee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom