Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Shukran mkuu.
 
Kwa ushauri atumie mafuta ya habat sauda kijiko kimoja kutwa mara tatu yatamsaidia sanaa, ukihitaji dawa ya kupona kabisa tatizo hilo unaweza wasiliana nami +255 655 821 550 what's app / call
Nashukur sana nilimfanyia invyo sasa cd4 zimeongezeka sana mungu akubaliki
 

Pole sana ndugu! Nashauri upokee hali hii kwa kumtegemea Mungu zaidi (kama unamwamini). Great things sometimes happen if we believe in God's love and care. Lakini si jambo jepesi kabisa kuelewa kilichotokea.
 
Ukimwi unaambukizwa kwa njia nyingi sio lazima kwa njia ya sex.Hata vitu vyenye ncha kali vinaweza vikasababisha ukimwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana. Labda alipata shuleni jamani labda walikatana na vitu vyenye ncha kali na wenzake au labda aling'atwa.

Ila sio mwisho wa maisha yake bora aanze kutumia dawa na tiba haiko mbali kupatikana kama alivyosema mdau mmoja hapo juu...research ya HIV imeadvance sana
 
Pole Sana mkuu nenda mbali zaidi Kama utapenda kapime DNA. Huwenda alipo zalia mkeo,muuguzi au dk ALIYE mzalisha Wana ujua ukweli samahani kwa swali hili umekagua Kadi ya klinik ya mama na ya huyo mtoto ? Kama hapana fanya hivyo
 
Yaweza kuwa shuleni,amejikuta damu ya mwingine inaingia katika open wound yake.
 
My brother pole sana

Kwa hari aliyofikia inaonesha kiwango cja viral loads kiliongezeka Mara dufu! Sasa inashauriwa kijutahidi sana kumsaidia mgonjwa kushusha viral loads. Endapo viral loads ikishuka hata magonjwa nyemelezi hayatamkumba mtoto!

Pia kuna dawa zipo za kuchoma ili kurudisha au kufanya viral suppression ni vyema Mara kwa Mara akawa anafanyiwa uchunguzi wa hizo viral loads.

Ukizembea ukaacha viral loads kuongezeka Mara dufu basi mtoto hatochukua round coz akipata malaria tuu anaondoka!

Otherwise, zidi kumuombea mtoto kwa mungu na mfunge na kusali mungu afanye miujiza yake inawwzekana kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za nyuma nilikuwa siamini kama magonjwa mengine ni roho za shetani lakini baada ya kuamini neno la Mungu nimeona maajabu sana swala la msingi amini mwanao akiombewa atapona maana hilo ni tatizo dogo kwa Mungu ila usifanye kosa ukaenda kwa sangoma kupiga ramli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ila jipeni tu moyo.
 
Pole Sana lkn ukimwahisha kutumia dawa atapona, maana nimewahi kuckia watumia dawa kuwa wakienda kupima wapo negative
 
Nadhani atakuwa stage 3 or 4 but akiwah akipata lishe stahk na dawa akiaanza mapema atakuwa pouwa sana Ilamsimjengee mazingira watu wengne ya kujua ana maambukiz ya VVU na pia zingatia sana lishe ndio mkombozi mzuri unaweza tumia dawa na ukachoka zaid bila lishe bora hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…