Mwanangu Kim Jong Un

Mkumbushe pia US alivyotandikwa Vietnam, usisahau kumkumbusha US alivyoaibishwa Somalia mpaka Askari wake wakaliwa maini live na kuburuzwa mitaani mpaka wakakimbia na kuondoa majeshi Yao Somalia.
Hivi unashindwa kusema tu kuwa Mim ni Muislam simpendi Mu-US kuliko kutuandikia uongo... Arabs nations US kamaliza choka mbaya Afghan, Parks, Somalia, Libya, Syria au unajitoa fyuzi Kama Ccm
 
Hivi unashindwa kusema tu kuwa Mim ni Muislam simpendi Mu-US kuliko kutuandikia uongo... Arabs nations US kamaliza choka mbaya Afghan, Parks, Somalia, Libya, Syria au unajitoa fyuzi Kama Ccm

= ndiyo nchi ipi hiyo?
 
Mbona hamtaki kujifunza. Inayojilinda ni NK kupitia NKPA na hii vuta nikuvute kati ya NK na USA ni ya nusu karne sasa. Dogo Kim ni msemaji tu ila katika kujibu shambulizi lolote NK ni moja na hawatasubiri. Sasa huyo USA na akili zake anahangaika nini na nchi ambayo haina mpango nae? Kwa kweli anaetakiwa kufikiria madhara ni USA maana NK atafanya kazi moja kulinda mipaka yake baasi. Ila angalizo kwa SK akae mbali na moto huo
 
Kuna watu wamezoea kukariri tu hawajui lolote kuhusu USA kukung'utwa kwenye vita za Ghuba wala Vietnam

Wao wanachojua ni kwamba kila vita USA lazima ashinde hata kama anapambana na Taifa ngangari...inaonesha hawajui lolote kuhusu historia
 
Mkuu kula tano na nasubiria muendelezo,hongera sana mkuu.
 
Nazi haiwezi kushindana na Jiwe

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Marekani akiishambulia North Korea ndio itakuwa anguko lake kiuchumi na nguvu za kiushawishi. Pale ni zaidi ya Iraq, Afghan, Libya, Vietnum, Japan ile iliyopigwa nuke. Ule mkwara tu Marekani haiwezi kuivamia NK. Watu wenye akili na uzoefu wa mambo yale wameshaingilia kati kumshawishi mzee yule mwenye nywele kama kuku wa kishingo asifanye balaa hilo. Kwa hakika Marekani atashinda hiyo vita, hilo halina ubishi lakini Japan, na S. Korea itakuwa armageddon/apocalypse yao. Na Marekani kwenyewe itakuwa misiba tupu kila kila mtaa, hili nina uhakika nalo sana. Marekani hajawahi kupigana na adui mwenye nguvu za kijeshi anaefikia 1/3 ya uwezo wake kama hiyu N.Korea.
 
Huyu mkorea watamwua wakorea wenzake maana hakuna mtu anayependa ujinga wake,na safari hii hachomoi
 
Hapana hizo hazitaiwa fact, il mitizamo tu.shart la fact iwe ni ukweli wenyewe kwa kuona ama kushika kabisa.
Ndio maana nikakwambia zinaweza zikawa za ukweli au laa iwapo zitaleta outcomes za ukweli basi zitakuwa ni facts so hisia ni miongini mwa vyanzo vya kutengeneza facts katika mambo mbalimbali
 
huwez shindana na america ukashinda,sahau..israel iko pale watapga kombora moja utakaa chini.
Mkuu nadhan huijui N.Korea, Hao Israel wamefanya operation nchi kibao na kufanikiwa kutoka salama, wamewahi wafuata na kuwadhuru adui zao na kuwashughulikia hadi ndani ya Marekani lakini mimi sijawahi kusikia kama wameshafanikiwa kuingia na kufanya yao ndani ya N.Korea. Kule ni balaa na hakuna wanafiki kama waliopo Ulaya, Afrika, na Uarabuni au China ambao ndio wanatoa siri za ushindi kwa adui. Kule ukiwa mnafiki unatoa siri adhabu ni kifo tu. Huyo dogo Kim wiki chache zilizopita anahisiwa kutuma watu wake kumuua kaka yake ambae alikuwa karibu na wazungu, Kashawanyonga mjomba wake n.k. Marekani hasingeshinda vita Iraqi au kule Afghan na kumuuwa Ghadafi bila kupata wenyeji wanafiki.
 
Kwani israel ameishawahi fanikisha kuingia bongo na kufanya chochote??hii ina maana kwamba bongo tuko vyema sana sio???

Watu hawaingii kuchunguza ya huko, vip tunajua sasa kwamba kamuua mjomba wako, kaka yake na anatumia kompyuta zake???
 
Mbona hamsemi ukweli kwani Saddam na Gaddafi walivamiwa na USA mwenyewe
 
Baba yake alipokufa ilichukua siku Tatu duniani kujua tena baada ya wao kutoa taarifa
Hahaha wale jamaa wanaishi kama wapo kwenye machimbo ya Tanzanite Mererani ...yaani ukiwa huko chini hujui kinachoendelea duniani and vise versa is true ....

Wapo kwenye dunia yao ya tofauti kabisa


Ngoja na mimi niungane na mleta mada kumwasa

Chonde chonde kaka yangu ..jana ulifanya jaribio likafeli huenda ni mbinu ya kivita kuwaonyesha Magharibi huna chochote ile wajae kichwa kichwa kitakachofuata ni historia
 
USA haijawahi kushinda nchi ambayo haijapasuka ndani.

Super, tatizo baadhi ya Watanzania hawasomi historia ya nyuma kuhusu mwenendo wa Amerika over the years, unacho sema ni kweli na kweli tupu lakini watu watakubishia tu - tusubiri tuone kama watakuwa na ubavu wa kuishambulia Korea kasikazini nchi yenye mshikamano, wakifanya ujinga wa kuishambilia wata kuwa humiliated kuliko walivyo dhalilika huko VietNam.
 
Pia Huyo dogo amesoma Sweeden na mashushu awakujua Kama ni mtoto WARaisi wakorea kaskazini. Mpaka baba yake alipofariki Ndio kupewa uraisi Ndio roommate wake akajua Kuwa jamaaa ni mtoto WA mkubwa Ndio dunia ikajua
Aisee hawa watu ni hatari ngoja tuone itakuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…