Mwanangu hataki kuongea nami, nafanyaje?

Mwanangu hataki kuongea nami, nafanyaje?

Hili jambo hahah sisi kwetu tulikua kujiskia baba yupo nyumban hata kukohoa tabu akisafir sherehe tulikua ni salam tu labda sana sana akitaka akutume....ila sshv ss anatupigia SIM kila uchwao anasema tunamsusa daaa tumemzoea sana mama haipiti siku mbili sijamgongea SIM
Maisha ya robo tatu ya Watanzania yako hivyo.
Wazazi wa kiume kufanya hivyo kuna faida zake na madhara yake.
 
Mwandiko wa kitoto sana huu.Kua uyaone bwana.Kama ni mtu mzima basi una walakin sehemu

Nikue niyaone yapi?

Unajua umri wangu au umegeuka prophet of which your work is terrible!

Umri mkubwa kwa utashi wako ni miaka mingapi kwa mfano?

Na wewe una umri gani mpaka uanze kutembea humu kama kiranja ku-inspect other people's age ranges?

Na for what hasa?

Tuna attitudes tofauti kabisa,tumelelewa tofauti,sikujui hunijui,yanini unapangia watu how they conduct themselves?

Kwangu mimi,baba,mama,etc ni wanadamu kama wanadamu wengine na mimi ni mtoto wao!

Walini discipline nikiwa mdogo as they thought fit,nimekua mtu mzima heshima kati yangu na wao ni two way traffick na hakuna mtu anaemiliki mwanadamu mwenzie!

Mimi sio mali ya mtu na sipo chini ya authority ya wazazi in any way whatsoever!

Wananiheshimu hasa kama mimi ninavyowaheshimu hasa!

Mengine unayoongea ni very relative na subjective sana kwangu.

Na pia si subscribe kabisa in that way of thinking you are ascribed to!

Nina watoto wadogo na ninawaheshimu kwa usahihi na wao wananiheshimu reciprocally!

Similiki mwanadamu yeyote.
 
Mimi na dogo hufanya mashindano ya kucheza muziki nyumbani ku bond. Pia hujadili mambo mengi kwa kumpa uhuru mkubwa sana. Na kwa sababu hiyo anaweza kujiamini sana, kuuliza maswali magumu na kuwa mtu mwenye utashi.

Maisha ya kumuogopa baba yanamfanya mtoto asiwe na uhuru, yanaua utashi, yanaleta sononeko na si mazuri kiujumla.
Mimi namuogopa mama sijui nifanyeje
 
Mimi mzee wangu sitaki hata anipigie. Huyu mzee naamini kabisa alirogwa. Kuna siku hivi karibuni alimpa mwanachuo mwenzangu jirani yake tulio chuo kimoja eti aniulize mishe za chuo,malipo,n.k Yule jamaa nilimwambia kwanza anipe namba za mzee wake ili huyo mzee naye aniulize masuala ya mwanae[emoji23] Jamaa tuligombana hadi sasa kaniblock,yani nikijua kuna mtu anafahamiana na mzee kwa ukaribu anakuwa adui yangu. Mara ya mwisho kumpigia alinambia yuko anajiandikisha daftari la mpiga kura. Mara nyingine alikuwa kwenye kelele,mara nyingine alikuwa kwenye kikao. Mara zote hizo anadai atapiga baadae na hafanyi hivo. In short ni hivi,anataka kujua taarifa zangu lakini hataki kuongea na mimi
Huyo mzee wako anataka utoboe ndo ajisogeze, so selfish yaan
 
Hahaha ww jamaa fala sana
Ila kwa michango ya wadau nitakua nafanya hvo kila jmosi. Hata nikiwa na dk 100 ni za kuongea na mama tu. Baba ataishia kupata tafadhali nipige
 
MREJESHO
WAKUU NIMESHINDWA ASEE KUKOPI NA JAMAA.
ACHA TUISHI IVI IVI KIGUMU
 
Aisee mpaka umri huu sina cha kuongea na baba, alafu mwenyewe Ni mkali sana,
Cha ajabu analalamika anasema tusimuogope,
Hata wakati nasoma msingi nilikua nikitoka shule nikimkuta mzee amerudi mimi ni salamu tu, naingia chumbani mpaka kesho, nilikuwa sina rafiki wala mambo ya wasichana, nilikua Mimi na ka pc kangu kachogo,watu wakuongea nao ni mama na ndugu zangu, Leo hii tunaweza kukaa mimi na baba au na mtu mwingine yeyote tusiongee chochote, ila tukikaa au nikimpigia mama tutapiga stori mpaka achoke yeye, yaani haipiti wiki bila ya kuongea na mama,


Mungu akipenda, mtoto wangu nitamlea malezi ambayo ataniheshimu bila ya kuniogopa.
 
Aisee mpaka umri huu sina cha kuongea na baba, alafu mwenyewe Ni mkali sana,
Cha ajabu analalamika anasema tusimuogope,
Hata wakati nasoma msingi nilikua nikitoka shule nikimkuta mzee amerudi mimi ni salamu tu, naingia chumbani mpaka kesho, nilikuwa sina rafiki wala mambo ya wasichana, nilikua Mimi na ka pc kangu kachogo,watu wakuongea nao ni mama na ndugu zangu, Leo hii tunaweza kukaa mimi na baba au na mtu mwingine yeyote tusiongee chochote, ila tukikaa au nikimpigia mama tutapiga stori mpaka achoke yeye, yaani haipiti wiki bila ya kuongea na mama,


Mungu akipenda, mtoto wangu nitamlea malezi ambayo ataniheshimu bila ya kuniogopa.
Pole mkuu. Hili laifu asilimia kubwa watanzania nimeona tumelipitia..
MREJESHO
WAKUU NIMESHINDWA ASEE KUKOPI NA JAMAA.
ACHA TUISHI IVI IVI KIGUMU
 
Aaah Mimi na mzee huwaga ni kuongea mishe za miradi yetu tu hiki nadhani limeniweka karibu maana yeye alikuwa askari sasa huwa ni kazi na amri tu.

Kwa hiyo napata muda mrefu wa kujadili changamoto za mradi na maendeleo
Siku zingine tunazinguana haya ndio maisha yanaendelea
 
Binafsi nilianza urafiki na baba kipindi nipo A-level kwa maana alikua akinipigia simu kila weekend kujua maendleo yangu na kunitumia pesa ya matumizi.

Na urafiki uliongezeka zaidi baada ya kuanza kunishirikisha katika mipango na miradi yake mipya,mpaka kufikia sasa naweza kukaa na baba nikaongea nae zaidi mambo ya msingi na hata stori za kawaida tu.

Mimi si niliezoea kuongea sana na mama lakini nashkuru kuwa ananipa support sana pindi nifanyapo jambo jipya na likafanikiwa.
 
Back
Top Bottom