Mungu aliye juu akutie nguvu Na abariki kazi yako kwa ajili ya mwanao.Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kabisa,nitamlea mwanagu,naomba Mungu anipe umri mrefu na aniwezeshe katika hilo.Sitokaa nikamtafuta tena iwe mvua iwe jua.
Ni uamuzi mzuri ila atakapokua huyo mtoto na kama baba yake atakuwepo, usimdanganye, uje umwambie ukweli, ukimdanganya utakuwa bado unapandikiza mbegu ya chuki na moyoni itakusuta kwa kumdanganya.Asante sana dear,maneno yako yamenifariji sana.Nimekata mawasiliano naye,na kumzika rasmi.sitopanndikiza chuki yoyote kwa mtoto,ila akikuwa na kumuulizia daddy yake,jibu ni hilo kuwa,he dead a long time ago.
Una lugha yenye ukakasi lakini,ubarikiwe kama hujawahi tenda dhambi yeyote.Kabla hujafungua miguu yako ilibidi ufungue akili yako kwanza sio unazaa tu kama chura halafu watoto wenu mnaanza kuwajaza chuki za kijinga......ujinga wenu ndio unatuletea product za ajabuajabu mitaani
#Mungu aliposema usizini na usishuhudie uwongo hakuwa mjinga
Wahenga walisema wastara hasumbuki,wambili havai moja.Nisiwachose,ni kuwa nimevumilia mengi kwa mwanaume huyu.
Tuna mtoto mmoja wa kiume ana miezi mi5 sasa.mwanaume amekuwa hashikiki,hashauriki na wala hatoi chochote cha matumizi si yangu wala ya mtoto.
Hakuwahi hudumia mimba na hata siku nazaa kwa uchungu alikuwa busy na anaowajua wakila maraha ya mjini.Toka mtoto kazaliwa amenunua pampas set mbili tu za sleepy,mkungu mmoja wa ndizi na nyama kilo mbili nilipojifungua nayo ni baada ya kusema sana.
Ana fanya kazi private company,anapata pesa nzuri tu.Ila kumhudumia mwanaye imekuwa majanga na yote hii anafanya kisa nami nina kazi.Nilikaa nyumbani siku 84 kulea mtoto hilo hakujali,akisema nawe una kazi.Nikasema its ok mtoto ni for some reasons hatuishi pamoja amepanga kwake nami naishi kwangu na mtoto.
Kilichonisukuma kuleta uzi huu mida hii ni kuwa jana alikuja kumwona mtoto,akiwa mikono mitupu as usual.Nikamwuliza hata kuchukua kilo ya nyama kwa mangi umeshindwa?akasema,amekuta nyama imeisha akambeba mtoto kidogo then akamweka sofani akafungua hotpot akakata ugali na samaki akala.
Imefika saa 8 nikawa na safari ya kwenda kanisani,nikamweleza nikaingia chumbani kwangu kubadili, akaja mbiombio akaniaga na kutoka.Robo saa nami nikawa tayari nikamwaga msichana wangu wa kazi,nikamwachia na mtoto nikawasha gari nikatoka.
Wakati niko barabarani sauti ikanambia hebu pita hapo kwa baba nanihii kabla ya kwenda kanisani.Basi nikapaki gari jirani then nikatembea,kufika pale nikabisha kama dakika 5 ndo akafungua.
Nikaingia nikakuta kumbe anaishi na binti,nikamwuliza ndo huyu anayesababisha usitoe hata hela ya pampas za mwanao? Nikamwambia mpigie simu mama yako tuongee akagoma.Basi nikatoka zangu nikarudi kwenye gari na kuendelea na safari yangu ya kanisani njiani nikidrive huku nalia kwa uchungu.
Nimefika nimechelewa kiasi,nikakaa kiti cha nyuma kabisa nikajiinamia nikilia,huku moyoni nikisema uko wapi Mungu wangu? Mawimbi yananipiga,uko wapi unitet(ni wimbo,niupendao).
Ibada imeisha saa 12 jioni nikarudi nyumbani kichwani nikiwa na mawazo tele.Nikakuta mwanagu analia nikamnyonyesha akalala.Nimestuka muda huu nikamtazama mwanangu alivyolala kama malaika,ila kichwani nimeamka na resolution moja tu,kwamba from today mwanagu hana baba,mimi ndo baba na ndo mama yake.
Nilitaka mpigia mamake ila nikaona yatakuwa yaleyale.Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu nitamlea mwanangu,naasume amekufa,and yes nimemwambia asifike kwangu tena.Kama ni mwanaye asubiri akifikisha 18 years atamtafuta.
Kama ni wewe mwanamke mwenzangu utafanyaje? Kwanini mwanaume ukatae kuhudumia mwanao kisa starehe?
hakuna mtu ninaempenda kama wanangu.. ingawa siishi na wazazi wao lakini nahakikisha kile ninachokipata nagawana nao. lakini kwa wewe mleta mda umefanya kitu ambacho sidhani kama ni sahihi. Unakwenda kulia kanisani kwa sababu ya hawara? unamuweka Mungu katika kundi la kuwAonea huruma wanaokwenda kinyume na amri zake? Lakini siwezi kukuhukumu kwa kuwa najua umechanganyikiwa na hili.
SIMAMA IMARA NA UTAMBUE KUWA WAPO WANAWAKE WANAOTESEKA NA KUUMIZWA ZAIDI YAKO. USIKUBALI CHOZI LAKO LENYE THAMANI LIKUTOKE KWASABABU YA MTU ASIYETAMBUA THAMANI YAKO.
Ila wanaume bwana, wakati mwingine tunajitafutia malaana bila sababu. Sawa, humpendi mama watoto na hutaki kuwa na mahusiano nae, basi hata mtoto wako kweli? Hivi ulifikiri mwisho wa kustarehe na mwanamke ni nini kama sio mtoto?
Dear I know now uko angry .. To me I do still is wrong to tell your own child a lie.. Remember lies always come with back fire and bite big time .. You will regret one day after telling your own son his Dad is dead .. So don't do that please.. Thanks..Asante sana dear,maneno yako yamenifariji sana.Nimekata mawasiliano naye,na kumzika rasmi.sitopanndikiza chuki yoyote kwa mtoto,ila akikuwa na kumuulizia daddy yake,jibu ni hilo kuwa,he dead a long time ago.
Maisha haya mitihanii hii dah,Mungu atusaidie tuNajua sio rahisi lakini mtu ndio hakutaki kuna haja gani ya kujikunyata na kuendelea kuumia my dear?
Kweli atusaidie my dear ila sanyingine yabidi kujiongeza tuMaisha haya mitihanii hii dah,Mungu atusaidie tu
Samahani mleta mada,namna uluvyoeleza huyu ni kama mumeo...Lakini sio.Hapo ndipo shida ilipo.Huyu ni hawara yako tu, na inawezekana hakupendi kivileee! Si ajabu tatizo n wewe ,kivipi ....hatujui.Kaza moyo lea mtoto na ujifunze.Kwz wengine pia ....msiwachukulie poa wanaume!
Huyo ni mumeo au mzazi mwenzako? Na je mlikubaliana kuzaa? Na ni kwanini mnaishi sehemu tofauti?Wahenga walisema wastara hasumbuki,wambili havai moja.Nisiwachose,ni kuwa nimevumilia mengi kwa mwanaume huyu.
Tuna mtoto mmoja wa kiume ana miezi mi5 sasa.mwanaume amekuwa hashikiki,hashauriki na wala hatoi chochote cha matumizi si yangu wala ya mtoto.
Hakuwahi hudumia mimba na hata siku nazaa kwa uchungu alikuwa busy na anaowajua wakila maraha ya mjini.Toka mtoto kazaliwa amenunua pampas set mbili tu za sleepy,mkungu mmoja wa ndizi na nyama kilo mbili nilipojifungua nayo ni baada ya kusema sana.
Ana fanya kazi private company,anapata pesa nzuri tu.Ila kumhudumia mwanaye imekuwa majanga na yote hii anafanya kisa nami nina kazi.Nilikaa nyumbani siku 84 kulea mtoto hilo hakujali,akisema nawe una kazi.Nikasema its ok mtoto ni for some reasons hatuishi pamoja amepanga kwake nami naishi kwangu na mtoto.
Kilichonisukuma kuleta uzi huu mida hii ni kuwa jana alikuja kumwona mtoto,akiwa mikono mitupu as usual.Nikamwuliza hata kuchukua kilo ya nyama kwa mangi umeshindwa?akasema,amekuta nyama imeisha akambeba mtoto kidogo then akamweka sofani akafungua hotpot akakata ugali na samaki akala.
Imefika saa 8 nikawa na safari ya kwenda kanisani,nikamweleza nikaingia chumbani kwangu kubadili, akaja mbiombio akaniaga na kutoka.Robo saa nami nikawa tayari nikamwaga msichana wangu wa kazi,nikamwachia na mtoto nikawasha gari nikatoka.
Wakati niko barabarani sauti ikanambia hebu pita hapo kwa baba nanihii kabla ya kwenda kanisani.Basi nikapaki gari jirani then nikatembea,kufika pale nikabisha kama dakika 5 ndo akafungua.
Nikaingia nikakuta kumbe anaishi na binti,nikamwuliza ndo huyu anayesababisha usitoe hata hela ya pampas za mwanao? Nikamwambia mpigie simu mama yako tuongee akagoma.Basi nikatoka zangu nikarudi kwenye gari na kuendelea na safari yangu ya kanisani njiani nikidrive huku nalia kwa uchungu.
Nimefika nimechelewa kiasi,nikakaa kiti cha nyuma kabisa nikajiinamia nikilia,huku moyoni nikisema uko wapi Mungu wangu? Mawimbi yananipiga,uko wapi unitet(ni wimbo,niupendao).
Ibada imeisha saa 12 jioni nikarudi nyumbani kichwani nikiwa na mawazo tele.Nikakuta mwanagu analia nikamnyonyesha akalala.Nimestuka muda huu nikamtazama mwanangu alivyolala kama malaika,ila kichwani nimeamka na resolution moja tu,kwamba from today mwanagu hana baba,mimi ndo baba na ndo mama yake.
Nilitaka mpigia mamake ila nikaona yatakuwa yaleyale.Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu nitamlea mwanangu,naasume amekufa,and yes nimemwambia asifike kwangu tena.Kama ni mwanaye asubiri akifikisha 18 years atamtafuta.
Kama ni wewe mwanamke mwenzangu utafanyaje? Kwanini mwanaume ukatae kuhudumia mwanao kisa starehe?
Hii ni mbaya sanaWahenga walisema wastara hasumbuki,wambili havai moja.Nisiwachose,ni kuwa nimevumilia mengi kwa mwanaume huyu.