wewe nadhan ni miongoni mwa watu wagen wa kauliz angu haapa jfLakini hata kama wewe ni mama hukupaswa kuyasema hayo. Nadhani ungeweza kuwa mwalimu bora kwake kwa kumuonyesha njia ambazo zingemsaidia kuliko kunena kitu kama kile. Wataka unambie hujawahi kukumbwa na suala kama hili na ukaomba msaada? Je ulijibiwa kama ulivyojibu hapa? huyu ni mgeni katika uzazi anahitaji kutiwa moyo na wazoefu kama nyie... ''""ULIBEBA MIMBA UKITEGEMEA UTACHUMA MALI sio kaulo nzuri kwa mtu unayejinasibu kuwepo katika ndoa kwa miongo miwili
Tatizo na ninyi mnazinguaaga hamjui kuomba.....mimi nina mwanamke nimezaa nae mtoto akati nikiwa form four 2008....ndo nilimtia mimba kajifungua 2009......Sasa kuna mwanamke naishi nae kwa kweli mzazi mwenzangu sio mstaarabu nishampga marufuku kunitafuta ....ye kama anataka pesa nitatuma kupitia kwa mama angu ndo zimfikie yeyemimi kama mwanamke ningempa mtoto ubini wa baba yangu mzazi ili hata mtoto akimtafuta kuna fine za kutosha tu atalipa.... pili nisingemfikira tena huyo mwanaume suruali kwa kweli.. pole focus kumlea mwanao unamwanaume jinga jinga
sasa kwa nini umempiga marufuku we ni mgomviTatizo na ninyi mnazinguaaga hamjui kuomba.....mimi nina mwanamke nimezaa nae mtoto akati nikiwa form four 2008....ndo nilimtia mimba kajifungua 2009......Sasa kuna mwanamke naishi nae kwa kweli mzazi mwenzangu sio mstaarabu nishampga marufuku kunitafuta ....ye kama anataka pesa nitatuma kupitia kwa mama angu ndo zimfikie yeye
mimi nimelala na mke wangu bila kufikiria anapiga cm saa tano usiku....hana cha maana anachozungumza anatuma sms.....zisizomamaana kama .....nakupenda sana n.k.....je ni akili niliona kuendelea kuwa na mazoea nae ni mwanzo mpya wa kuyumbisha ndoa yangu...sasa kwa nini umempiga marufuku we ni mgomvi
husije kumwambia mtoto mzazi amekufa wakati yuko hai hata kama hamuelewani baba wa mtoto atabaki kuwa baba wa mtoto na ana damu yake kwa huyo mwanao kama mmekwaruzana hujue huyo akuwa ridhiki yako ila mtoto mweleze kuwa baba yake yupo na wala usimshirikishe kwenye huo ugomvi wenuChuki zipi wakati atajua baba kafa. Sasa akiwa hai nitamwambia hajawahi kukutunza, hakujali wala nn huoni kuwa ni kupandikiza chuki kwa mtoto.
Kina baba wajibikeni kwa watoto wenu!!
I like the term kyalosangiSamahani mleta mada,namna uluvyoeleza huyu ni kama mumeo...Lakini sio.Hapo ndipo shida ilipo.Huyu ni hawara yako tu, na inawezekana hakupendi kivileee! Si ajabu tatizo n wewe ,kivipi ....hatujui.Kaza moyo lea mtoto na ujifunze.Kwz wengine pia ....msiwachukulie poa wanaume!
Wahenga walisema wastara hasumbuki,wambili havai moja.Nisiwachose,ni kuwa nimevumilia mengi kwa mwanaume huyu.
Tuna mtoto mmoja wa kiume ana miezi mi5 sasa.mwanaume amekuwa hashikiki,hashauriki na wala hatoi chochote cha matumizi si yangu wala ya mtoto.
Hakuwahi hudumia mimba na hata siku nazaa kwa uchungu alikuwa busy na anaowajua wakila maraha ya mjini.Toka mtoto kazaliwa amenunua pampas set mbili tu za sleepy,mkungu mmoja wa ndizi na nyama kilo mbili nilipojifungua nayo ni baada ya kusema sana.
Ana fanya kazi private company,anapata pesa nzuri tu.Ila kumhudumia mwanaye imekuwa majanga na yote hii anafanya kisa nami nina kazi.Nilikaa nyumbani siku 84 kulea mtoto hilo hakujali,akisema nawe una kazi.Nikasema its ok mtoto ni for some reasons hatuishi pamoja amepanga kwake nami naishi kwangu na mtoto.
Kilichonisukuma kuleta uzi huu mida hii ni kuwa jana alikuja kumwona mtoto,akiwa mikono mitupu as usual.Nikamwuliza hata kuchukua kilo ya nyama kwa mangi umeshindwa?akasema,amekuta nyama imeisha akambeba mtoto kidogo then akamweka sofani akafungua hotpot akakata ugali na samaki akala.
Imefika saa 8 nikawa na safari ya kwenda kanisani,nikamweleza nikaingia chumbani kwangu kubadili, akaja mbiombio akaniaga na kutoka.Robo saa nami nikawa tayari nikamwaga msichana wangu wa kazi,nikamwachia na mtoto nikawasha gari nikatoka.
Wakati niko barabarani sauti ikanambia hebu pita hapo kwa baba nanihii kabla ya kwenda kanisani.Basi nikapaki gari jirani then nikatembea,kufika pale nikabisha kama dakika 5 ndo akafungua.
Nikaingia nikakuta kumbe anaishi na binti,nikamwuliza ndo huyu anayesababisha usitoe hata hela ya pampas za mwanao? Nikamwambia mpigie simu mama yako tuongee akagoma.Basi nikatoka zangu nikarudi kwenye gari na kuendelea na safari yangu ya kanisani njiani nikidrive huku nalia kwa uchungu.
Nimefika nimechelewa kiasi,nikakaa kiti cha nyuma kabisa nikajiinamia nikilia,huku moyoni nikisema uko wapi Mungu wangu? Mawimbi yananipiga,uko wapi unitet(ni wimbo,niupendao).
Ibada imeisha saa 12 jioni nikarudi nyumbani kichwani nikiwa na mawazo tele.Nikakuta mwanagu analia nikamnyonyesha akalala.Nimestuka muda huu nikamtazama mwanangu alivyolala kama malaika,ila kichwani nimeamka na resolution moja tu,kwamba from today mwanagu hana baba,mimi ndo baba na ndo mama yake.
Nilitaka mpigia mamake ila nikaona yatakuwa yaleyale.Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu nitamlea mwanangu,naasume amekufa,and yes nimemwambia asifike kwangu tena.Kama ni mwanaye asubiri akifikisha 18 years atamtafuta.
Kama ni wewe mwanamke mwenzangu utafanyaje? Kwanini mwanaume ukatae kuhudumia mwanao kisa starehe?[/QUOTE]
Mbona unaomba ushauri kwa akina mama tu, wapo wanaume wenye ushauri mzuri tu!!
wewe kweli Wakuacha kama lilivyo jina lako.Tatizo na ninyi mnazinguaaga hamjui kuomba.....mimi nina mwanamke nimezaa nae mtoto akati nikiwa form four 2008....ndo nilimtia mimba kajifungua 2009......Sasa kuna mwanamke naishi nae kwa kweli mzazi mwenzangu sio mstaarabu nishampga marufuku kunitafuta ....ye kama anataka pesa nitatuma kupitia kwa mama angu ndo zimfikie yeye