Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,645
Madaktari tafadhali nisaidieni. Mwanangu anaumwa macho yapata mwezi sasa. Yamekuwa mekundu na yanatoa machozi muda wote na pia ndani kuna usaha. Hospitali dozi kapewa lakini hajapona kabisa!
Naomba msaada. Je atapona kweli au ndo keshakuwa kipofu?
Nisaidieni jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada. Je atapona kweli au ndo keshakuwa kipofu?
Nisaidieni jamani
Sent using Jamii Forums mobile app