Hapendi kelele, pia watoto wadogo hawawezi kukaa kwa utulivu muda mwingi akiwa amejikita kufuatilia jambo moja tu muda mrefu tena asilolielewa kabisa au lisilochangamsha ubongo wake.habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Sasa hii si umeambue mchungaji au ninyi mnasali makanisa ya kihuni ambayo mchungaji kumona mpaka uandike barua na sadaka. Toka makanisa ya hivyo namna hiyo. Mwenye solution ni mchungaji wako humu Kuna akina kiranga n.khabari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii waida
Wachungaji wafanye kazi Yao je wewe huwezi kumuombea?habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
shukraniSasa hii si umeambue mchungaji au ninyi mnasali makanisa ya kihuni ambayo mchungaji kumona mpaka uandike barua na sadaka. Toka makanisa ya hivyo namna hiyo. Mwenye solution ni mchungaji wako humu Kuna akina kiranga n.k
Uzi na ufungwe.Hapendi kelele
Hawezi kukubali jibu lako, anategemea aambiwe mtoto ana mapepo ndo aridhike.Watoto ndio zao. Hawapendi makelele na wengine pia hawajazoea kuona watu wengi.
Mimi siku hizi naenda kanisani ila nasali nikiwa nje maana ndani ni yowe tu.
Daah ndio maana Watanzania tunasemwa tunaongoza kwa ujinga Afrika....yaani umeshaona kabisa kwamba mkiingia kanisani tu mtoto analia....mkitoka ananyamaza, mkianza maombi analia...mkimaliza ananyazama alafu unasema hata hujui shida ni nini....Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa!!habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Loophole kama hizi ,ndio huwa hao mitume na manabii huwa wanapigia pesa.Hawezi kukubali jibu lako, anategemea aambiwee mtoto ana mapepo ndo aridhike.
Mbona wangu hali tena anaruka balaaBila shaka wewe ni mlokole na kanisani huwa mnapayuka ,mtoto lazima alie.
Mwamposa anasemaje?habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Ni kweli.Loophole kama hizi ,ndio huwa hao mitume na manabii huwa wanapigia pesa.
Atakua anapandisha pepo toa sadaka ya ukombozi 07855568 jina makelele kubeja.Mbona wangu halisi tena anaruka balaa
Mimi nashangaa mtoto wa miezi 6 unampeleka kanisani kufanya niniDaah ndio maana Watanzania tunasemwa tunaongoza kwa ujinga Afrika....yaani umeshaona kabisa kwamba mkiingia kanisani tu mtoto analia....mkitoka ananyamaza, mkianza maombi analia...mkimaliza ananyazama alafu unasema hata hujui shida ni nini....Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa!!