Mwanangu analia sana wakati wa maombi

Mwanangu analia sana wakati wa maombi

Kubeba mtoto kanisani ambaye hajitambui ni kumtesa mtoto na wewe mwenyewe pia.
Sasa wakati familia ikipokea utakaso na kuvunjiwa nira za kichawi hauoni mtoto atakosa huo uhondo?
 
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Watoto mara nyingi huwa hawana subira na sehemu zenye mashetani na makelele.
Wote tunaofuatana nao misikitini huwa wachangamfu sana mpaka uchangamfu wao unasababisha wengine kuona kama ni kero.
 
Kelele mnazompigia, na muda mwingi anakua ana mikojo inamuwasha..!!
 
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
kuna uwezekano mtoto wako hapendi kelele, au hajazoea kuona watu wengi....kabla ya kuangalia suala hili kwa upande wa kiroho labda nikuulize tatizo hili limeanza tangu akiwa mdogo au ni sasa akiwa na mwaka mmoja na miezi sita? kanisani ulianza kumpeleka akiwa na umri gani?
 
Sasa hii si umeambue mchungaji au ninyi mnasali makanisa ya kihuni ambayo mchungaji kumona mpaka uandike barua na sadaka. Toka makanisa ya hivyo namna hiyo. Mwenye solution ni mchungaji wako humu Kuna akina kiranga n.k
Humu ndipo penye watu huru wa kuweza kumshauri kitaalamu na kwa facts, mchungaji wake atamlia pesa zake tu au kumfundisha kumuharibu mtoto kwa matisho ya vifinyo, kumuacha alie tu mpaka akaukie na njia nyingine za hovyo.
 
Mtoto wako anaona vitu vya ajabu hapo kanisani,

Usiende nae huyo mchngani anatumia nguvu mbadala kufanya maombi,

Chunhuza hili kwa makinj
 
1.Yawezekana hapendi kelele
2.Kanisan kwenu kuna wachawi wengi ivo mtoto anaona mauzauza.
 
Makelele mengi ukizingatia yale maspika makubwa yanaharibu ngoma za masikio ya mtoto.

Ushauri ukienda muache nyumbani na mtu sahihi wa kumuangalia.
 
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Anaona mnampigia kerere Tu.
 
Back
Top Bottom