- Thread starter
- #41
nimetoa 200 au haitoshiAtakua anapandisha pepo toa sadaka ya ukombozi 07855568 jina makelele kub
nimetoa 200 au haitoshiAtakua anapandisha pepo toa sadaka ya ukombozi 07855568 jina makelele kub
Nimelewaweee wapi pameandikwa miezi 6 pole sana mrembo wangu punguza wenge
Nabaki nyumbani siendi church. Mungu ataelewaMzazi ndio anahudhuria Ibadan na mtoto hana pakuachwa
Pole inaweza KUWA na vitu vya Aina mbili hii ya kwanza ni mazingira tu ya ukuaji na hii ya pili ni hii ya uwepo wa nguvu tofauti hapa naomba nieleweke sio kila kanisa Lina nguvu halisi ya Mungu pili yamkini kuna roho tofauti Zina Anza kumnyemelea Mtoto mara nyingi huwa ni maroho ya urithi kutoka katika Familia na wakati mwingine ni roho za kichawi Zina Anza kupandwa ndani yake muwahi kabla mambo hayajaharibika.. Ukiona hali inaendelea nicheki nitakusaidia by The Grace of God in Jesus Name.habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Nwachehabari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida