Mwanangu analia sana wakati wa maombi

Mwanangu analia sana wakati wa maombi

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
571
Reaction score
548
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
 
Hapendi kelele, pia watoto wadogo hawawezi kukaa kwa utulivu muda mwingi akiwa amejikita kufuatilia jambo moja tu muda mrefu tena asilolielewa kabisa au lisilochangamsha ubongo wake.
 
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii waida
Sasa hii si umeambue mchungaji au ninyi mnasali makanisa ya kihuni ambayo mchungaji kumona mpaka uandike barua na sadaka. Toka makanisa ya hivyo namna hiyo. Mwenye solution ni mchungaji wako humu Kuna akina kiranga n.k
 
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Wachungaji wafanye kazi Yao je wewe huwezi kumuombea?
 
Sasa hii si umeambue mchungaji au ninyi mnasali makanisa ya kihuni ambayo mchungaji kumona mpaka uandike barua na sadaka. Toka makanisa ya hivyo namna hiyo. Mwenye solution ni mchungaji wako humu Kuna akina kiranga n.k
shukrani
 
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Daah ndio maana Watanzania tunasemwa tunaongoza kwa ujinga Afrika....yaani umeshaona kabisa kwamba mkiingia kanisani tu mtoto analia....mkitoka ananyamaza, mkianza maombi analia...mkimaliza ananyazama alafu unasema hata hujui shida ni nini....Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa!!
 
Mwamposa anasemaje?
 
Sasa mnampigia kelele hadi maskio yanalia nziiiiiiii kwanini asilie?, we unaona zile kelele huwa ni za kawaida? Hapa mtaani sisi wenyewe tulishindwa kulala kwasababu ya kelele za kanisa kidogo tumtie makofi mchungaji

Unamsingizia shetan kumbe ni ujinga wenu
 
Daah ndio maana Watanzania tunasemwa tunaongoza kwa ujinga Afrika....yaani umeshaona kabisa kwamba mkiingia kanisani tu mtoto analia....mkitoka ananyamaza, mkianza maombi analia...mkimaliza ananyazama alafu unasema hata hujui shida ni nini....Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa!!
Mimi nashangaa mtoto wa miezi 6 unampeleka kanisani kufanya nini
 
Back
Top Bottom