TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

Rusumo one

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,067
3,598
Wacongo wanaomboleza kifo cha mwimbaji mashuhuri Tshala Muana. Muana alifariki dunia leo Jumamosi asubuhi, Desemba, 10. Kulingana na vyanzo vya habari vya Congo, Muana alifariki mjini Kinshasa. Amefariki akiwa na umri wa miaka 64.

Pia soma -> Historia ya Tshala Muana

Mume wa Tshala, Claude Mashala alithibitisha kifo chake katika chapisho la Facebook. ""In the early hours of this morning, the good Lord made the decision to take over the national Mamu Tshala Muana. May the good God be glorified for all the good times she has given us on this earth. Farewell Mamu from m," he posted..

Mashala hakutoa maelezo kuhusu chanzo cha kifo cha Mkewe. Marehemu Muana anajulikana kwa nyimbo kadhaa zilizovuma katika bara zima. Wimbo wake wa Karibu Yangu ni moja ya nyimbo maarufu ambazo zimemfanya avutiwe kote ulimwenguni.

1.jpg
2.jpg

BAADHI YA NYIMBO ZAKE MAARUFU

View attachment 2441700View attachment 2441701

BAADHI YA NYIMBO ZAKE MAARUFU

Dah. Gone too soon
giphy.gif

Mm shabiki wake Sana bhna dah ,Jan tu nilikuwa nasikiliza ngoma zake

Ameacha watot wangapi
 
Mwanamuziki maarufu WA jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Elisabet Tshala Muana Muidikay maarufu Tshala Muana amefariki Léo desemba 10 nchini Kongo
Taarifa iliyodhibitishwa na família haikueleza chanzo chá kifo chake
Tshala muana mkongwe WA muziki WA rhumba amefariki akiwa na umri WA miaka 64
Miongoni mwa vibao alivyotamba navyo marehemu Tshala Muana ni
Esina Bali
Karibu Yako
Dezodezo
Kokola
Marehemu Tshala Muana alizuru Tanzanie mara kadhaa miaka ya 80 na 90
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom