TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

Pumzika kwa amani, huyu huwa hakosi kwenye my playlist na sichoki kurudia nyimbo zake.
Kokola mm huwa nikienda bar jioni kama dj kazubaaa zubaa nampa play list yangu ya tshala muana na oliver ngomaa lzm azichapezote
 
Nimekumbuka mwaka 2002 alikuja kutuburudisha shuleni kwetu wakati wa chakula cha mchana yani dina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom