Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

Wanamuziki maarufu walotangulia mbele ya haki kwa mwaka 2016


14EF16D400000514-4064028-image-a-3_1482601607170.jpg


David Bowie alifariki akiwa na miaka 67 mwezi Januari 2016 (picha na Press Association)

04AA5FE10000044D-4064028-image-a-5_1482601757446.jpg

Prince alifariki terehe 21 April Mwaka 2016 (picha na Associate Press)

Kitu kimoja muhimu katika vifo vya wanamuziki hawa ukiondoa David Bowie ambe alikuwa na anasumbuliwa na saratani, ni usiri mkubwa katika kutangaza umauti wa hawa wawili na haisemwi mapema nini chanzo cha vifo vyao.
Sio mdudu mkuu..
 
hivi patner wake Elton John anaitwa nani vile?nahisi kama ndio huyu?Msaada kujua kama nachanganya mambo hapa pls
Anaitwa David James Furnish, huyu ameoana na gay mwenzake Elton John na wana watoto wawili from surrogate mother..

Yeye mabwana zake ni mapilot wakina Kenny Goss na ...
 
Oo madawa ya kulevya na pombe hakika karama ya dhambi ni umauti amini hivyo.
Huyu alikuwa ana ishu nyingine zaidi ya pombe na drugs!

Kuna bwanaake anaitwa Fellepa alikufa na moto...

So toka hapo G hakujielewa...
 
Huyu alikuwa ana ishu nyingine zaidi ya pombe na drugs!

Kuna bwanaake anaitwa Fellepa alikufa na moto...

So toka hapo G hakujielewa...

C0n5bu_XEAAlmpv.jpg

Mkuu, George Michael alikuwa na bwana na alikuwa akificha hiyo kitu.

Mume wake huyu anaitwa Fadi Fawaz na alikuwa naye tangu mwaka 2009 alipoachana na yule mwingine bwana Goss!

Fadi ndiye aliegundua mwili wa George alipokwenda kujiunga naye kula Xmas ndiyo familia nzima ikataka uhuru wa faragha uheshimiwe kuficha hii aibu.

Mengine utamalizia hapo.
 
RIP kwakweli Careless whisper ilifunika kila kona mpaka kwenye maaautograph tehe tehe enzi hizooo
aisee mmnilimfahamu kwenye hiyo nyimbo. heshima kwenu watu waq zaman inaelekea mume enjoy sana vitu vitamu ila nimechukia tuu kusikia alikua shoga. na ushoga unamaliza wengi kumbuka prince nae umemchukua halafu naona wengi HIV inawamaliza
 
C0n5bu_XEAAlmpv.jpg

Mkuu, George Michael alikuwa na bwana na alikuwa akificha hiyo kitu.

Mume wake huyu anaitwa Fadi Fawaz na alikuwa naye tangu mwaka 2009 alipoachana na yule mwingine bwana Goss!

Fadi ndiye aliegundua mwili wa George alipokwenda kujiunga naye kula Xmas ndiyo familia nzima ikataka uhuru wa faragha uheshimiwe kuficha hii aibu.

Mengine utamalizia hapo.
Kwa hali hii mashoga ni wengi sana mkuu tunapishana nao huko barabarani. real you cant imagine huyo ndugu ni bwabwa
 
George Michael na mwanamuziki mwenye asili ya Kitanzania Freddie Mercury ni miongoni mwa kundi la wanamuziki maarufu lukuki waliokuwa na maisha yenye utata. Marehemu Freddie Mercury alikuwa muimbaji na kiongozi wa bendi maarufu ya Uingereza kwa jina la Queen. Freddie Mercury na kundi lake la Queen alikuwa na uwezo wa kujaza mashabiki wa muziki zaidi ya laki moja ktk eneo la tamasha la muziki na hata kumbukumbu yake Freddie Mercury kupitia video ilitumika ktk Olympic 2012 London, Uingereza kumuenzi.
VIDEO ya bendi ya Queen live kufuatana na kumbukumbu media kubwa za muziki duniani

Source: watchMojo.com
 
mkuu huyo fellepa alikua anambandua/kubanduliwa na nani?? ina maana ngoma inawamaliza hawa?? maana hata prince nae ngoma ilimchukua

Inasemwa kwamba huyo Fellepa ndiye alikuwa wa kwanza kwa George na baadae alikuja kugundulika ana HIV, sasa ni nani alimwambukiza mwenzie hapo ndipo penye utata.

Watu wenye HIV katika nchi zilizoendelea wanaishi maisha mazuri lakini kimwili wanakufa taratibu.
 
Basi huyo jamaa aliekua anambandua prince huyo wa pili nae atakua na ngoma tuu. Sijui kwa nini ngoma inawapata sana mashoga ikumbukwe hata prince ngoma ilimchukua

Hayo yanatokana na matumizi ya madawa ya kulevya na ulevi ambapo mtu anaweza kukutana na mtu mwingine katika sehemu yoyote ile ambae ni mgonjwa bila kutambua.
 
Mimi huwa sielewi inakuwaje .....Dah mpaka Lee Daniel wa empire naye ni shoga hana wasiwasi na maisha yanaenda.....HIVI INAKUWAJE....WANAGEUZANA WOTE AU MMOJA NDIO MUME.....???????????
 
Back
Top Bottom