David Furnishhivi patner wake Elton John anaitwa nani vile?nahisi kama ndio huyu?Msaada kujua kama nachanganya mambo hapa pls
David James Furnish is a Canadian filmmaker, former advertising executive, and now a film director and producer most known for his documentary Elton John: Tantrums & Tiaras. He is married to Elton John.Elton John anae mumewe na inasemekana wana watoto wa kununua.
Nikakumbuka ile siku Sir Elton John alivyoitwa palace na queen kupewa title ya Sir baada ya kuimba candle in the wind kwenye msiba wa Diana, alikwenda na then boyfriend wake David, yaani queen alijua kabisa hawa wana.....Merry Xmas Mkuu.
Nikakumbuka ile siku Sir Elton John alivyoitwa palace na queen kupewa title ya Sir baada ya kuimba candle in the wind kwenye msiba wa Diana, alikwenda na then boyfriend wake David, yaani queen alijua kabisa hawa wana.....
Ni heshima unayopewa na malkia kama umefanya jambo la manufaa kwa jamii wanaita 'order of knighhood'Ni kweli hawa watu wenye hiyo title wapo wengi sana na wote wamepewa na Malkia mwenyewe.
Duu I attended that funeral umenikumbusha mbali "candle in the wind nilimwona akiimbaNikakumbuka ile siku Sir Elton John alivyoitwa palace na queen kupewa title ya Sir baada ya kuimba candle in the wind kwenye msiba wa Diana, alikwenda na then boyfriend wake David, yaani queen alijua kabisa hawa wana.....
Ww kizazi ganiCmjui
Kwani lazma amjue we vpWw kizazi gani
Mumewe elton anaitwa david furnishhivi patner wake Elton John anaitwa nani vile?nahisi kama ndio huyu?Msaada kujua kama nachanganya mambo hapa pls
Yaah humo ndipo zimegawanyika utakuta kuna (OBE )pia kuna (MBE )na nyingine nadhani bekham ni OBENi heshima unayopewa na malkia kama umefanya jambo la manufaa kwa jamii wanaita 'order of knighhood'