witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Sio mdudu mkuu..Wanamuziki maarufu walotangulia mbele ya haki kwa mwaka 2016
![]()
David Bowie alifariki akiwa na miaka 67 mwezi Januari 2016 (picha na Press Association)
![]()
Prince alifariki terehe 21 April Mwaka 2016 (picha na Associate Press)
Kitu kimoja muhimu katika vifo vya wanamuziki hawa ukiondoa David Bowie ambe alikuwa na anasumbuliwa na saratani, ni usiri mkubwa katika kutangaza umauti wa hawa wawili na haisemwi mapema nini chanzo cha vifo vyao.