Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

Nilikuwa shabiki wake mkubwa ila alinikatisha tamaa kwa ushoga wake.
 
MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA SIO MAZURI, THE LATE MICHAEL NI MHANGA WA HILO.
 
Not ashamed to say it, this morning I cried for George Michael. Other time I shed tears & lost my breath for a singer was Whitney [HASHTAG]#RIPGeorge[/HASHTAG]
 
Not ashamed to say it, this morning I cried for George Michael. Other time I shed tears & lost my breath for a singer was Whitney [HASHTAG]#RIPGeorge[/HASHTAG]
i see you are too emotional....
 

George Michael

George Michael mmoja wa wanamuziki maarufu duniani amefariki dunia leo nyumbani kwake.

Kwa mujibu wa meneja wake ambae ametoa taarifa mapema jumatatu asubuhi ya saa 7 kwamba George amefariki kwa moyo kusimama au "heart failure".

Familia ya George imeomba kuheshimiwa kwa faragha yao.

George Michael alizaliwa akiitwa Georgios Kyriacos Panayiotou katika kitongoji kijulikanacho kwa jina la Finchley, kaskazini mwa jiji la London, nchini Uingereza.

George alishiriki kuimba katika kundi la Band Aid kwenye kibao kiitwacho 'Do They Know It's Christmas' (1984), na baadae kushuka na vibao vingine vikali vya 'Careless Whisper' na kingine cha 'A Different Corner'.

Mwaka 2002 alitunga muziki uloitwa Shoot the Dog ambao katika video yake alikuwa akiwakebehi Tony Blair Cherie Blair na George Bush.

George ameuza zaidi za santuri milioni 100 katika maisha yake yote ya muziki katika uhai wake ulosambaa ndani ya miongo minne.

Katika miaka ya hivi karibuni George alikuwa akikabiliwa na matatizo ya ulevi wa madawa ya kulevya na pombe.
Hivii jamahana kashfa yakutumbulwa uanii
 
Bado ELTON JOHN
WACHAWAISHE... UGONJWAA WAMOYO NAHISII ALIKUTANA NA PIPE YA MWENDOKASI UWIII IKAMKATIKIA NDANII KWIKWIIII ALAFU WANASEMA APUNGUZIWE ADHABUYA KABRU
 
Mzee wa 'Careless Whisper', apumzike kwa Amani.
 
1514f938c1f9b44b547ba533541ed459.jpg
 
Back
Top Bottom