Mwanamsafara: CCM hatuna chetu

Kwa kashfa aliyonayo Kinana sasa hivi (Ya Tembo wetu) kumzungusha nchini ni kuzidi kukiua chama. Hii ni neema kwa wapenda mabadiliko Tanzania. CCM wanakosa kusoma halama za nyakati

You're absolutely right! Katibu Mkuu wa Chama amekiri wazi wazi kampuni yake kuhusika katika usafirishaji wa nyara za taifa zilizopatikana kwa njia haramu ya ujangili halafu watu kama hawa CCM inawaona lulu; can't believe my sensory organs.

Ingekuwa enzi za Mwalimu na Simba wa Vita hata ndani ya chumba cha mkutano asingeingia "jangili" yule sembuse kuzunguka nchi nzima akiwahadaa wananchi. Huyu alipaswa awe amefungiwa mahali anahojiwa - ni shahidi muhimu sana kwenye issue ya ujangili nchini.
 
Kwa kashfa aliyonayo Kinana sasa hivi (Ya Tembo wetu) kumzungusha nchini ni kuzidi kukiua chama. Hii ni neema kwa wapenda mabadiliko Tanzania. CCM wanakosa kusoma halama za nyakati
yaani msomali alete mapinduzi ya uchumi tanzania?hivi tumerogwa na nani?
 
Mmoja wa wanamsafara wa Sekretarieti mpya ya CCM iliyo ziarani mikoani,amefunguka. Mwanamsafara huyo ambaye anatokea upande wa Zanzibar kuingia kwenye Sekretarieti,amesema kuwa sera ya kuzunguka imeshindwa mapema. ' Hakuna mafanikio. Hali ni ngumu. Ndio kwanza tumeacha ugomvi nyuma yetu. Wanachama wanahoji iweje shughuli za chama zimilikiwe na viongozi wa Serikali?' alisema . ' Nadhani mikutano ya hadhara si aina yetu ya mapambano ya kisiasa. Hatutafanikiwa. Aibu tupu' aliongea kwa kwikwi mjumbe huyo. Afadhali yetu sisi tuliobaki dar
Na bado, watakunywa maji na karai.
 
It has come to my attention that he has just passed 54! Naomba kujua ujana unaanzia na unaishi wapi? Mtu yuko kwenye voluntary retirement age halafu anajiita kijana na haishi kutema pumba kila uchao!

sisiem hata kingunge ni kamanda wa umoja wa vijana.
 
Mmoja wa wanamsafara wa Sekretarieti mpya ya CCM iliyo ziarani mikoani,amefunguka. Mwanamsafara huyo ambaye anatokea upande wa Zanzibar kuingia kwenye Sekretarieti,amesema kuwa sera ya kuzunguka imeshindwa mapema. ' Hakuna mafanikio. Hali ni ngumu. Ndio kwanza tumeacha ugomvi nyuma yetu. Wanachama wanahoji iweje shughuli za chama zimilikiwe na viongozi wa Serikali?' alisema . ' Nadhani mikutano ya hadhara si aina yetu ya mapambano ya kisiasa. Hatutafanikiwa. Aibu tupu' aliongea kwa kwikwi mjumbe huyo. Afadhali yetu sisi tuliobaki dar

JK amewadanganya kwa kuwaambia wazunguke, wanajiua kisiasa wao wenyewe.

Chama tawala kampeni yake ni kutimiza ahadi, si kuzunguka tena na kuongeza ahadi au kujaribu kuwafikirisha wananchi waone maendeleo wasiyoyaona.

CCM inajikaanga na mafuta yake yenyewe!
 
Mimi nashindwa kabisa kuwaelewa hawa mabawana wakubwa kwa kuiga kila strategy toka upande wa pili yaani chama tishio kwao. Hii mbinu ya kuzunguka nchi nzima haipo kabisa katika programme zao lakini naona ni kama wameidandia. Hata yale ya kupunguza gharama za ujenzi na elimu bure 'wamekopi' na 'kupesti' toka pande hizo. Nafikiri wanahitaji damu changa zaidi kujua na kutambua mbinu sahihi za kupambana kidemokrasia
 
Mkuu hapo unampigia mbuzi gitaa! Kwao wanahitaji majangili na mafisadi ili chama kipate ufadhili na kwa kuwa pesa inaweza kununua haki kwao hilo ndio la muhimu.
 
By the way, naomba kwa yeyote aliyemsikia Ndugu Kinana akitamka neno UFISADI au UJANGILI au NYARA au RASILIMALI ZA TAIFA mahali popote kwenye mikutano yake ya "kuimarisha" chama anitajie ni lini na wapi; zawadi nono itatolewa. Hatakaa atamke hayo maneno hadharani asilani! Fuatilieni.
 
Singependa utafsiri kwamba nimekutukana ila uelewe tu kwamba ulichoandika hapa ni pumba zinazoonyesha jinsi usivyoelewa mambo. lakini pata nafasi hii kujifuza kwamba, hakuna maendeleo unayoweza kuyaleta kwenye nchi bila vyama vya siasa kwa mfano mfano wako CHADEMA ama chama chochote, ODM, DEMOCRAT, Labor nk. kwa vile ndiyo vyenye forum ya watu na mipango ya kupanga sera ambazo wewe na mimi tutazisafiria ili tujiletee aendeleo, kwa mfumo ulivyo duniani haijapata kutokea nchi ikaenda kama uavyofiki wewe, labda nchi ya kusadikika. unachosema wewe ni sawa na kusema mwanamke apate mimba bila kukutana kimwili na mwanamme, biologically impossible!!!
Jamaa yangu unamtukana mwenzako kaandika pumba wakati wewe ndio pombe ya pumba una uhakika kuwa Dunia yote inafuata mfumo ya siasa na vyama vyake hakuna Nchi za kifalme hebu rudi darasani utaziona hizo Nchi za kusadikika
Mleta mada mwenyewe kwanza muongo huwezi kusema hakuna mafanikio wakati CHADEMA wamechanganyikiwa kwani thread zote za Lowassa, Kesi za Lema hakuna tena ni Kinana tu na pembe za ndovu uatasema hakuna mabadiliko?

Huko Uraiani hata habari za UAMSHO hakuna km unabisha fuatilia Magazeti ya Kesho je? hakuna KINANA?
 
Mmoja wa wanamsafara
wa Sekretarieti mpya ya CCM iliyo ziarani mikoani,amefunguka.
Mwanamsafara huyo ambaye anatokea upande wa Zanzibar kuingia kwenye
Sekretarieti,amesema kuwa sera ya kuzunguka imeshindwa mapema. ' Hakuna
mafanikio. Hali ni ngumu. Ndio kwanza tumeacha ugomvi nyuma yetu.
Wanachama wanahoji iweje shughuli za chama zimilikiwe na viongozi wa
Serikali?' alisema . ' Nadhani mikutano ya hadhara si aina yetu ya
mapambano ya kisiasa. Hatutafanikiwa. Aibu tupu' aliongea kwa kwikwi
mjumbe huyo. Afadhali yetu sisi tuliobaki dar

mjomba wake Kinana amkataza mpwae kuitaja CDM mkutanoni atapata laana. source katibu wa CCM mkoa

HIZI NDIO HABARI ZA UONGO WANAZOTAKA KUSOMA WANACDM HAPA JF ILI KUJIPA MOYO.
 
Mmoja wa wanamsafara wa Sekretarieti mpya ya CCM iliyo ziarani mikoani,amefunguka. Mwanamsafara huyo ambaye anatokea upande wa Zanzibar kuingia kwenye Sekretarieti,amesema kuwa sera ya kuzunguka imeshindwa mapema. ' Hakuna mafanikio. Hali ni ngumu. Ndio kwanza tumeacha ugomvi nyuma yetu. Wanachama wanahoji iweje shughuli za chama zimilikiwe na viongozi wa Serikali?' alisema . ' Nadhani mikutano ya hadhara si aina yetu ya mapambano ya kisiasa. Hatutafanikiwa. Aibu tupu' aliongea kwa kwikwi mjumbe huyo. Afadhali yetu sisi tuliobaki dar

Kamanda hizi habari za kutunga zifanye zifanane na ukweli sera za kutueleza hamna huu muda mnaoutumia kutunga hizi habari ungeweza kutengeneza mstari mmoja wa sera.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Watashindana ila hawatashinda, maana sie tuna Mungu, to be frank this is the last slap (LAST GASP!!), yaani haitakuwepo kujivua gamba wala kujivika ni kufa kabisa

The end is in sight; we have to push a little harder.
 
Back
Top Bottom