Mwanamsafara: CCM hatuna chetu

Si mlisema Kinana mwanamapinduzi,mwanauchumi na kiboko wa chadema.? Sasa tena imekuaje.?
si unaona mbinu anazo tumia Arusha kumchafua Lema?
Katafutwa kikongwe mmoja aliyenusurika kuuawa huko Shinyanga vijijini kwa kina Masanja Mkandamizaji akakimbilia Arusha ambako alibahatika kuukwaa udiwani. Sasa kikongwe huyo anadai eti Lema alikuwa anataka kumfanya matusi
 
hatujaelewana lugha tu mkuu....angalizo langu umaarufu na ukubwa wa chama haumanishi kuwa na viongozi wazuri....tumefika hapa tulipo sababu tumeshikwa na umaarufu wa chama kimoja hata kama kimeishiwa viongozi makini....watanzania wanachagua jina la chama hata kama mgombea ni tatizo

bhabheja sana,sawa sawa na mtu fulani nilimsikia akisema jimboni kwake sasa hivi chadema ni maarufu hata kama wakisimamisha jiwe dhidi ya ccm litapita,
 
Back
Top Bottom