Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
serikali kama hii m23 tz haikwepeki
Mmoja wa wanamsafara wa Sekretarieti mpya ya CCM iliyo ziarani mikoani,amefunguka. Mwanamsafara huyo ambaye anatokea upande wa Zanzibar kuingia kwenye Sekretarieti,amesema kuwa sera ya kuzunguka imeshindwa mapema. ' Hakuna mafanikio. Hali ni ngumu. Ndio kwanza tumeacha ugomvi nyuma yetu. Wanachama wanahoji iweje shughuli za chama zimilikiwe na viongozi wa Serikali?' alisema . ' Nadhani mikutano ya hadhara si aina yetu ya mapambano ya kisiasa. Hatutafanikiwa. Aibu tupu' aliongea kwa kwikwi mjumbe huyo. Afadhali yetu sisi tuliobaki dar
Ngoja waje wenye chama watakavyotokwa povu
sio kinana wala chadema watakaoleta mapinduzi ya uchumi tanzania.........ni siss watanzania kwa umoja wetu tukishikamana na kukataa umaskini kwa kuweka viongozi thabiti wenye upeo na uwezo
Kama unamfuatilia na kumsikiliza Kinana yeye hahangaiki na CHADEMA. Ana mengi ya kufanya na kurekebisha ndani ya CCM kwa sasa. Kinana ni makini sana kuliko hata Lowassa anayeng'ang'ana kurudisha jimbo la Arusha.Chadema ataiwezea wapi? Anawaonea NDOVU huko maporini ataiweza nguvu ya umma? Operesheni iliyoshindwa kabla ya kuanza.
ungeelewa wazo langu usinge kurupuka......watanzania hatuna mshikamano tunaenda na peer presha badala ya kuchagua kiongozi mwenye sera na uwezo wa kutuongoza tunaendeshwa na itikadi .....mimi chadema..mimi ccm sio dawa dawa ni kuchagua kiongozi bora kutoka na sera alizo nazo
Kama unamfuatilia na kumsikiliza Kinana yeye hahangaiki na CHADEMA. Ana mengi ya kufanya na kurekebisha ndani ya CCM kwa sasa. Kinana ni makini sana kuliko hata Lowassa anayeng'ang'ana kurudisha jimbo la Arusha.
hatupaswi kuchagua chama bali kiongozi makini kwani ataweza kurekebisha hata chama husika .....ila tukichagua chama wakati kiongozi mbovu hata chama kiwe makini vipi hakuna litakalo fanyikaYamekuwa hayo tena nyinyi watanzania nani atawaunganisha kama siyo chama makini kinachojali shida za watanzania???? labda funguka zaidi utaeleweka vinginevyo wewe ni gamba lilokata tamaa linalotaka bora tukose wote.Hiloooooooooooooooooooooo
sio kinana wala chadema watakaoleta mapinduzi ya uchumi tanzania.........ni siss watanzania kwa umoja wetu tukishikamana na kukataa umaskini kwa kuweka viongozi thabiti wenye upeo na uwezo
hatupaswi kuchagua chama bali kiongozi makini kwani ataweza kurekebisha hata chama husika .....ila tukichagua chama wakati kiongozi mbovu hata chama kiwe makini vipi hakuna litakalo fanyika
tatizo letu watanzania tunashindwa kuchagua viongozi na sera zinzotufaa iwe chadema ama vyama vingine uwezekano wa kiongozi makini kupigwa chini na kupewa mpuuzi ni mkubwa sababu watanzania tunapenda ushabiki zaidi sio uhalisianiweke sawa mkuu,kidogo akili yangu imetetereka.Viongozi thabiti ambao si wanachama cha siasa(ccm ya Kinan na Chadema)kwa katiba yetu ambayo chama cha siasa kitamchagua kiongozi,kutengeneza sera na kiki fanikiwa kushika dola kusimamia serikali kutekeleza sera zake.
Nchi nyingi hufanya hivi na hapa tz watu wengi wamekuwa na imani na Chadema,sasa kama kuna utaratibu mwingine tujuze tuachane na wana siasa
@wildcat Katibu mkuu kama Mtendaji mkuu na strategic specialist kama Kinana ameanza kazi kwa tuliopita jeshini kwa mguu wa Kulia(gwaride) badala ya mguu wa kushoto hilo ni kosa kubwa na inaonyesha total failure.Muhimu kwa Kinana ushauri wangu kwake kama anataka mabadiliko ya kweli na yenye tija kwa chama chake ni kama ifuatavyo
1.Kukaa ofisini na kufanya tathimini ya kina( table work analysis) ,hapo atagundua udhaifu wa chama chake kuandaa strategic decision
2.Watakelezaji wa shughuli za cham angachia wenyeviti na makatibu wa ngazi zote-mikoa,wilaya na kata
3.Nchi hii ni kubwa na kama atamuiga vasco dagama kuzunguka na kupata per diem atajikuta anamaliza mwezi na miezi hakuna la maana
4.Kusimamia makatibu na wenyeviti wa chama ngazi zote na kuratibu utendaji wao kwa njia ya vikao na taarifa na mikutano michache
kwa heri ni mimi mwanachama mtiifu wa CHADEMA PEOPLES' POWER-----------------2015
....................................
5.K
2.
nchi haiendeshwi na mtu mmoja na mtu mmoja hawezi kuwa na sera zake lazima afuate sera za chama kwa hiyo mtu makini lazima apatikane kutoka chama makini na si kila chama.ungeelewa wazo langu usinge kurupuka......watanzania hatuna mshikamano tunaenda na peer presha badala ya kuchagua kiongozi mwenye sera na uwezo wa kutuongoza tunaendeshwa na itikadi .....mimi chadema..mimi ccm sio dawa
dawa ni kuchagua kiongozi bora kutoka na sera alizo nazo
Wazunguke tu
na Mwizi wa Pembe za ndovu, maana sasa watazunguka na nani mwingine
maana wote ni mafisadi!
tatizo letu watanzania tunashindwa kuchagua viongozi na sera zinzotufaa iwe chadema ama vyama vingine uwezekano wa kiongozi makini kupigwa chini na kupewa mpuuzi ni mkubwa sababu watanzania tunapenda ushabiki zaidi sio uhalisia
"vilevile mtu mbovu asiye kiongozi anaweza kupita ndani ya chama makini." hapa ndipo tatizo langu liliponchi haiendeshwi na mtu mmoja na mtu mmoja hawezi kuwa na sera zake lazima afuate sera za chama kwa hiyo mtu makini lazima apatikane kutoka chama makini na si kila chama.
hatujaelewana lugha tu mkuu....angalizo langu umaarufu na ukubwa wa chama haumanishi kuwa na viongozi wazuri....tumefika hapa tulipo sababu tumeshikwa na umaarufu wa chama kimoja hata kama kimeishiwa viongozi makini....watanzania wanachagua jina la chama hata kama mgombea ni tatizomkuu lakini hapo bado kwa hali halisi itabidi tu tuendelee na kuwachagua viongozi ambao watakuwa wanawekwa na chama?sioni jinsi gani unaweza kuchagua kiongozi makini bila kupitia chama cha siasa a nadhani hiyo si kwa watanzania tu.
Na sera hatuwezi kuzipata bila kupitia kwenye chama na ukiondoa nchi za kifalme bado sijawahi kuona nchi yoyote ile ambayo uongozi wake wa kisiasa hauhusishi chama cha siasa,au mkuu unaweza labda kunipa mfano halisi wa nchi mojawapo ambayo imetumia theory yako,inawezekana ikawa nzuri but in reality how togo about it ndipo hapo nilipoomba mwangaza