Mwanamme mbahili pia mchoyo

Mapenzi hayatabiliki mwingine atakwambia anakuvumilia kumbe anapunguza madikodiko yake huko nje,nawe ukaona kweli hapa napendwa navumiliwa kumbe mambo yanaendelea tu huko nje

Ni heri hivyo. Hutaumia utakapokuja kugundua. Plus, heshima/utu wako utabaki intact.

ahahaaa nimehama kikosi cha mizinga

Aaaaah after Ufoo Saro ama Be4??!
 
Kila pesa hutoka kwa hesabu Mkuu.
Unadhani ht ww ukiwa na pesa utatoa hovyo
anapokwenda kugegeda ni sawa sio salon.

Ushauri mwambie aendelee kumpa hiyo. Papuchi unajua huyo jamaa ni wa hesabu
Mzee wa Rula.

Duuuuuh sijajua ID yangu imeingiaje hapa lakini kwa maneno machache kabisa "Ufahari nyumba yake ni umaskini"
 
hapa kuna ukweli
thumb up
 

Kwa hiyo K yako ni mtaji wa kupata vocha, hela ya saloon, pesa ya kununulia nguo na kumalizia shida zako. Hongera zako kwa kuwa mwanamke.
 
mi huamini sharing is caring..

na kiwango cha upendo unachotamani kupata,basi nawe toa kiwango icho icho
 
Mmh ukizidi tatizo huyo huyo si anataka kuona umependeza hata mara moja kwa mwaka hakuna hapana doh.
 
ni heri hivyo. Hutaumia utakapokuja kugundua. Plus, heshima/utu wako utabaki intact.



Aaaaah after ufoo saro ama be4??!
after bwana..mambo ya kupumulia mashine siwezi mie
 
huko ni kulea ujinga .......,,,,, lol!!! hata nauli hatoi mbona anakutumia vibaya sana huyo???
kimbia hakufai na hawa matajiri inabidi kuwa makini sana smtms wanatumia nyota zetu kwa staili kama hiyo ye anatajirika we uko pale pale!!!!

Mbona unaona huyo mwanaume tu ndo anamtumia vibaya huyo mdada? tinna cute ulitakiwa umwambie kuwa asimtumie huyu mwanaume vibaya. Kwanza kasema ati anapewa tena hela baada ya ku-do. hiyo haki iko wapi jamani? Yeye alikuwa wapi wakati jamaa ana do? Si walikua wana do wote wawili? Kwa nini asimpe huyo jamaa hata mia kama asante kwa kumfikisha kilele??
Huyu mdada hafai kabisa, kwanza hasemi hulipwa ngapi kwa hilo lidhambi analouza, tena anasema jamaa ana wivu, angekuwa na wivu angesha vuta ndani siku nyingi. Ana mbabaisha tu hata hiyo pete ya uchumba bado ila migegedo haihesabiki, kuna haja gani tena ya kuvuta ndani? Kwani anakuja mpya?
kama jamaa kamwambia kuwa anataka harusi, hiyo ni pipe tuu si lolote. Atangoja saana harusi
 
Unalalamika hupewi hela unauza na kama unauza useme tu watu mjini hapa tumeserve matatizo mengi baada ya kuwa mabahili na imetusaidia kusonga mbele mshahara wenyewe hautoshi na halafu uhonge si bora nioe tu ili niwe nakupa kwa faida ya wote
wanawake jishughulisheni muache utegemezi wa kuwa unahongwa na mwanamume na ndio maana wengine wanaishia kupigwa risasi na kulogwa kwa kuzidisha mizinga kwa wanaume
 
after bwana..mambo ya kupumulia mashine siwezi mie

Asavali mambo ya kutumiwa meseji classmate flani kafariki sitaki mimi! Siku hizi ni michango ya ndoa tu jamani inaniua...na heri ingekuwa ivo af nna plan za kuoa sasa! aaah....inaezekana ata nshakuchangia na sijui..JF bana!!!
 
Sifanyi kazi hiyo kabisaaaa.....yakuendekeza mtu bahili halafu hotel chumba laki na kuendelea analipa kwenda kunipasua.
Labda pesa yake ya majini maana lol!!!!!

Anakupasuaje na wewe bhana si pale mnapasuana au
 



Tatizo kubwa ni hili viumbe kujifanya wanajua zaidi ya Muumba

Mungu keshasema zinaa haramu


Mambo ya ukale na usasa yanatokea wapi??
 
Sifanyi kazi hiyo kabisaaaa.....yakuendekeza mtu bahili halafu hotel chumba laki na kuendelea analipa kwenda kunipasua.
Labda pesa yake ya majini maana lol!!!!!

eti "yakuendekeza mtu bahili halafu hotel chumba laki na kuendelea analipa kwenda kunipasua" au kupasuana?..
 

Nimepapenda hapa tu - (kama hizo chupi
mnavaa siku hizi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…