Kwenye relationship naamini kwenye kukamilisha jig saw puzzle. Where he is weak hata kama nami nilikuwa weak i will make sure that i become strong. I wouldnt mind kumshikilia mkono na kumpa reassurance kwamba tutavuka hili pia. By the way nitajiona mwenye bahati kwa angalau kujua emotions zake. Manake hata mimi binafsi unaweza kunipita na combats zangu na kofia kumbe chini ya kofia nalia kama mamba alielambishwa pilipili. Na nikifika kwa ninaempenda nitaubwaga moyo na kulia hadi makamasi!
you guys are speaking Chinese....anyway it is rare that am left out. Congratskama unakumbuka hiyo 'OMG'
ilikuwa maarufu sana with a certain tv series which was also no 1 with women
so najua maana yake
actually i said it as a joke first,
Mimi limwanaume linaloficha hisia silitaki.
umenchoka sio? sasa mi kulia nikisherehekea mshindo ndo kuwa emotional? unalo hilo ukiniacha tu nafakamia thiodan.
ahahahahahha hakuna rangi tutaacha kuona!
yani we acha tu!
lakin sasa tutafanyaje na konnie ni wetu kwa shida na raha!
mi navumlia tu mwenzangu unafkir ubridemaid siutaki!
so wacha tubrainstomishe tuuuu mwisho wa siku to mek an easy way kwa zombie!
Kongosho habari za leo nimekumiss saana.dah, mwanamme analia yule sijawahi ona.
Mie nimekulia Tandale, kukushikia bisibisi sifikirii mara mbili, full ngangari. Nachoka kubembeleza jamani.
Sasa siku nikistua nje akanigundua?(sijapanga kustua ila yu neva noo)
there are those who can`t cheat even at a gun point.....so don`t put it too generalunadhani wanaochit wametokea Mars?
Ni sie sie tu
yeah itnaweza kuwa ndogo lkn si wote,vp wewe upo kati ya ``majasiri`` wanaoweza cheat?,mmh; haya.
% ngapi?
Wanaume tukisoma hii thread na kuielewa na kuona michango ya dada zetu toka mwanzo kabisa tutagundua kuwa wanapenda kuwa under control na wanajifeel kuwa safe zaidi,na ndicho nilichogundua always mshow mwanamke kama wewe mwanaume na anytime unaweza kufanya maamuzi magumu......na kingine wanapenda wanaume wakali sio muda wote kucheka cheka na kulia kulia
Ndio maana huwa wanachezea makofi kwangu na kesho wanapiga simu eti 'I still love you but you need to be gentleman ' na graph ya mapenzi inapanda. Just been a man meeeeeen! ! Don't let them change who you are watakuona demu mwenzao
Heri ya Juma Kuu!
Ama baada ya salamu, naomba kurudi kwenye mada ya leo.
Hivi unapojikuta una mwanamme emotional kuliko wewe mwanamke unafanyaje?
Mwanamme ambaye hisia zake ni 'delicate' kama mtoto mchanga, si kwamba ana pretend ni kweli anakuwa anaumizwa na mambo ambayo mwingine naona ni madogo sana.
Maisha yanakuwaje pale mke anapokuwa 'strong' kihisia kuliko mwanamme?
Iwe msiba, ugonjwa, matatizo ya ndoa ya kawaida na makubwa.
Je, watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao wanakuwa 'emotional'
Mbaya zaidi ikitokea pale mfano mzazi katangulia mbele ya haki, kuna baadhi anamfanya mke kuwa mke na mama.
Mmh, inakuwa ngumu zaidi kum-handle, natishika nikiwaza, je ikitokea ukamchit si anaweza kujimaliza?
Hebu wanamme na nyie nisaidieni.
Ndio maana yake mazeeBy Bondpost
Ndio maana huwa wanachezea makofi kwangu na kesho wanapiga simu eti 'I still love you but you need to be gentleman ' na graph ya mapenzi inapanda. Just been a man meeeeeen! ! Don't let them change who you are watakuona demu mwenzao
Mkuu wangu kumbe tupo wengi, ndio hivyo inabidi maana hawa ukicheka nao sana watakuendesha vibaya sana,I do the same na naona love kila siku inazidi kuwa strong na anasema yupo happy kwa jinsi nilivyo mkali hamna mambo ya kijinga jinga na dharau hakuna.....respect kwa wanaume wote wenye msimamo

Kongosho mambo..
Mweh et emotional..hahaha ukimkanyaga bahati mbaya anapiga ukunga..hmmm
akiangalia movie za kusikitisha lazima enkachifu pembeni..apo wamekuja wadogo zako wakike kukujulia hali..mnachek movie au tamthilia za telemundo mjamaaa machozi..
Uwiii wanamme waneumbwa kujikaza bana. Agggh
weird n funny!! Hahahh
hii ni moja ya sababu ambayo lecturer alipigwa chinifor me i cant tolerate that mwanaume mwanaume tu mwanaume lia lia piga magoti kila kitu mpaka mke atoe uamuzi noo i need some1 who is challenging Asprin upo??nimekumisijedah, mwanamme analia yule sijawahi ona.Mie nimekulia Tandale, kukushikia bisibisi sifikirii mara mbili, full ngangari. Nachoka kubembeleza jamani.Sasa siku nikistua nje akanigundua?(sijapanga kustua ila yu neva noo)