Mwanamme anataka mimi ndio nimjali

Mwanamme anataka mimi ndio nimjali

pole sana shost
achana nae
ameshindwa kulipia tu chumba cha guest house atakufanya nini hyo ni boya tu
tupa kule
wenzio hata maji ya kunywa tu kumimina kwenye glass twamiminiwa.chezea kugegedwa wewe?
hahahahahaahahaahahahaah,hongera zako shost
 
pole sana shost
achana nae
ameshindwa kulipia tu chumba cha guest house atakufanya nini hyo ni boya tu
tupa kule
wenzio hata maji ya kunywa tu kumimina kwenye glass twamiminiwa.chezea kugegedwa wewe?
😀😀😀 😛
 
dada ana date na mhudumu wa bar...
ndo matatizo ya kutongoza wanaume!!
asirudie kutongoza mwanaume..
mwanaume ana tabia ya kishenzi kabisa bado anamng'ang'ania wa nini...
huyo kaka kamfanya kama kitega uchumi..
na yeye kwakua kapenda/limbukeni hata cjui ni nini.. anatoa hela tu!

cha mtema kuni hicho vipiiiii....
amlete kwangu tuonyeshane vya mtema kuni[emoji41]
Umeongea kwa ukali sana [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ttz la wadada wengi wanapenda
Sana uongo hua mkiambiwa
ukweli mna kataaa haya
Mnachokitafta ndo hicho mnakipata
 
Back
Top Bottom