Mwanamme anataka mimi ndio nimjali

Mwanamme anataka mimi ndio nimjali

Huo sio uhusiano,Aachane nae tu maana kuendelea katika huo uhusiano ni kujipa shida ukizingatia mwanaume mwenyewe kaoa..mungu atamjalia nae atampata wake atakayempenda na kumjali pia.
 
dada ana date na mhudumu wa bar...
ndo matatizo ya kutongoza wanaume!!
asirudie kutongoza mwanaume..
mwanaume ana tabia ya kishenzi kabisa bado anamng'ang'ania wa nini...
huyo kaka kamfanya kama kitega uchumi..
na yeye kwakua kapenda/limbukeni hata cjui ni nini.. anatoa hela tu!

cha mtema kuni hicho vipiiiii....
amlete kwangu tuonyeshane vya mtema kuni[emoji41]
 
mbona iko wazi kapata anayependa kutunzwa . achague kumtunza au kumuacha, hiyo akimuacha sijui cha mtema kuni haipo hio
 
Kuna vitu vigumu kuelewa. Kwanza mwanaume husika ni mume wa mtu mwingine. Pili ushajua kuwa hakupendi. Kuwa na mtu unayejua hatakaa awe wako, anaku-mistreat bado umo, unataka kumuacha anakutishia ina wewe ni mgonjwa na ashaakujua. Unapenda mateso. Anza mkakati wa kupona maana binadamu mwenye afya njema ya akili hafanyi hivyo.
well said, halafu atakuja hapa ohooo huyu bwana ananinyanyasa na hili au lile.

kwanza ni mume wa wenyewe muache.
 
Dunia na mambo yake ni magumu sana. Jamani ninawaombeni tumrudie Mungu maana tunayotenda ni machukizo. Msichana unajua mtu ana mke wake na wewe unajiingiza. Sasa angalia umekuwa mtumwa na huyu mtu anaweza kukuulia mbali. Tutafakari na tujiulize tunayofanya wakati mwingine yanafaa, yanaleta faida au hasara.
 
anateseka sana kumpenda mtu ambaye hayuko wazi kama anampenda au hampendi - huu upumbavu sana huy si mume wa mtu...ishu za kupenda au kutpenda zinakujaje wkati mnachepuka tu....
 
Habari wandugu?

Kuna dada nilimnasa mahali akilalama kuwa amepata rafiki wa kiume (mume wa mtu) mwezi Mei mwaka huu, huyo mwanamme anataka huyo dada ndie awe anamualika kutoka out na huyo dada ndie awe analipia vinywaji vyote na chakula. Na lingine alilalama kuwa wakiwa sehemu wanakunywa yule bwana akiwaona rafiki zake basi anamwambia mhudumu wapelekee wale kinywaji wanachokunywa na ana clear bill lakini hataki kununua vinywaji kwa ajili yao wawili.

Pia alisema kuwa, hata anapompigia simu, yule bwana anaongea kwa kifupi sana na kudai kuwa hapendi kuongea na simu muda mrefu lakini wakiwa wamekaa pamoja huyo bwana huwa anatumia muda mwingi kuwapigia simu ndugu zake na anaongea nao muda mrefu.

Mbaya kuliko yoyote anasema huyo bwana anataka yeye siku ya kubanjua amri ya sita huyo dada atafute room na kulipia.

Anasema kuna siku alimwambia kuwa yeye anasitisha uhusiano kwa kuwa anateseka sana kumpenda mtu ambaye hayuko wazi kama anampenda au hampendi, yule bwana kusikia hivyo akamtishia kuwa akimuacha atamuonyesha cha mtema kuni.

Mwenye nafasi ya kuchangia hebu tumshauri huyu dada
huyo mwnaume wla hana mapenxi nae. ni mpumbavu tu
 
si apunguze mawasiliano baadae akate kabisaa, kuhusu kuonana awe anamkwepa akisingizia yuko busy, ikiwezekana ahame kabisa ila amuache taratibu taratibu
 
si apunguze mawasiliano baadae akate kabisaa, kuhusu kuonana awe anamkwepa akisingizia yuko busy, ikiwezekana ahame kabisa ila amuache taratibu taratibu
ni ushauri mzuri
 
  • Thanks
Reactions: THT
We utakua Una nyota ya mchepuko ndio maana unateseka halaf unang'ang'ani tu

kwani wanaume wameisha hadi uteseke kwa huyo mume WA mwenzio
 
Hahahahaha yaani udate na mune wa mtu halafu bili alipie yeye....huo ukiazi

Huyo mwanaune si anajifanya haachiki???Kwanza ahakikishe anapata no za mkewe na full details..... mwanaume akijifanya mbabe tu amwage mboga....hapo binti hana cha kupoteza zaidinya huyo atakayetia doa kwenye ndoa yake

Mnhhhh hadi nimekuogopa
 
Back
Top Bottom