Natafuta mwenza (mwanamke)

True Man11

Member
Oct 14, 2022
79
109
Habari ndugu zangu,

Nakuwaga najiuliza sana lini nitapata wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika.

Muda mwingi nawaza kwanini simpati ama wapi nakosea? Nachoko kuwa single na mpweke, najua hali hii mwengi mko naye wadada na wanaume pia kutokana na mazingira/kazi au hata malezi, naomba mwanamke aliye kwenye hali ya uhitaji kama wangu basi tuungane.

Karibu PM mrembo wangu nipo tayari kukupenda, kukuheshimu na kukujali, nitafuta mambo yangu yote na nitaanza maisha mapya na wewe pale utakapokuwa tayari, umri wangu ni miaka 35 naishi Dar es salaam, nafanya biashara ni single baba pia. Nawishi nipate msichana anayejitambua sana bila kujali umri wala kabila.
napenda nipate kuanzia miaka 23 - 34, asiwe mfupi sababu mimi ni mrefu wa wastan.

Naomba nifate PM tufahamiane na maelezo zaidi. WhatsApp +255 743 935 757
 
Habari ndugu zangua,

Nakuwaga najiuliza saana lini nitapata Wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika.

Muda mwingi nawaza kwann simpati ama wapi nakosea?? nachoko kuwa single na mpweke, najua hali hii mwengi mko naye wadada na wanaume pia kutokana na mazingira / kazi au hata malezi, naomba mwanamke aliye kwenye hali ya uhitaji kama wangu basi tuungane, karibu PM mrembo wangu nipo tayari kukupenda, kukuheshimu na kukujali, nitafuta mambo yangu yote na nitaanza maisha mapya na wewe pale utakapokuwa tayari, umri wangu ni miaka 35 ni single baba pia. na wishi nipate msichana anayejitambua saana bila kujali umri wala kabila.

naomba nifate PM tufahamiane na maelezo zaidi.
mbona wako wako unae unatembea naye, unakula nae na una lala nae, siyo mwingine bali ni MKONO wako ndo my wako wako 😂.

Hawa wengine ni tuna share tu na binadamu wenzetu kuwa mpole tu kijana.
 
mbona wako wako unae unatembea naye, unakula nae na una lala nae, siyo mwingine bali ni MKONO wako ndo my wako wako 😂.

Hawa wengine ni tuna share tu na binadamu wenzetu kuwa mpole tu kijana.
ha ah aaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom