Mwanamke wapimwe akili kabla ya kupewa mtoto baada ya kujifungua

Dorrlyn

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,092
2,000
Kuna vijana walikua wanabishana kua uchungu wa kuzaa aufikii waku tairiwa hapa nashindwa balance mizani..

Kama wewe ni mwanaume huwezi semea mambo ya uchungu raha ya uchungu ni mpk u experience na si kusimuliwa
 

LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,659
2,000
Duuh hatari

nishasikia juu ya postpartum depression na postpartum psychosis
Hali ya kupata depression/kichaa flani baada ya kujifungua
 

Priceless soul

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
1,473
2,000
Nilitaka nikosoe makosa yako mengi ya kiuandishi (mf. Nazani, akikua kinalia, uku, ziliitajika jitiada, gafla...) ila nikakumbuka ile miandiko yenu madaktari ilivyo basi nikaona hata hapa umejitahidi sana. Kazi yenu hiyo ni ya wito sana na Mungu Aendelee kubariki mikono yenu muendelee kutuokoa
Umebarikiwa busara + kumbukumbu.
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
23,588
2,000
Sio wasomi.wote walifaulu kiswahili Kama wewe Mimi nlifaulu sayansi lakini kiswahili nilipata D.
Kupata D ya kiswahili haimaanishi hujui kuandika ama kuongea kiswahili. We mtu anasoma hadi udaktari hajaelewa tofauti ya l na r? Naelewa ni kutokana na baadhi ya makabila lugha zao lakini kujirekebisha inawezekana hasa kama umesoma tena kwa muda mrefu Kama daktari. Wajirekebishe.
 

Am mackdy

Member
May 9, 2020
30
95
Hicho kilikua kichaa Cha mimba au alikua na mental illness kabla ya kujifungua au post post porterm depression?
Hakuna anae zuia mwenye mental illness kuzaa ...awe wa kike au wakiume....
I like this dr ,niko into discomfort icyo ya kawaida baada ya kuhic niko na tatizo la mental health OCD ,yaan cjui ndio kuwa confused kwenyewe huku I need help for this current time
 

Mr. JF

Member
Dec 14, 2015
64
125
Mimi nakumbuka nilivyojifungua nilisikia manesi walisema huyu tusimpe mtoto sasa hivi anaweza mrusha au mtupa ngoja tumwache apumzike kwanza nikarudishwa wodini bila mtoto mpaka asubuhi alivyokuja mme ndio kichanga kikaletwa mme kuuliza akaambiwa tuliona mkeo angedhuru mtoto
Una uhakika mtoto waliyemleta ni wako? Nishashuhudia case ya mwanamke akinusurika kupewa mtoto ambaye si wake, na wake akapelekwa kwa mwingine!
 

Dorrlyn

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,092
2,000
Una uhakika mtoto waliyemleta ni wako? Nishashuhudia case ya mwanamke akinusurika kupewa mtoto ambaye si wake, na wake akapelekwa kwa mwingine!
Alikuwa wangu akitoka tu wanakuonyesha hapo hapo na nilikuwa mwenyewe sema kichwa iliruka kutokana na uchungu mkali wenyewe wanasema huwa inatokea sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom