Mwanamke wapimwe akili kabla ya kupewa mtoto baada ya kujifungua

Nakumbuka nilivyotoka kujifungua nilikuwa na hasira mno yaani hata kumgusa mtoto sikuwa natamani,

kila kitu kilikuwa kibaya kwangu,kichwa kikawa kama kina vurugu hata sielewi.
 
Uzazi una mambo mengi. Kuna mama mmoja anasema kila akitoka kujifungua huwa anasikia meno yanakuwa na ganzi na maumivu kwa pamoja pia hung'oa baadhi.
wahenga wanasema ukiona hivo ujue amevunja chupa kwa mdomo means alitapika.
 
Yeye si mara moja ana watoto wanne. Niliwahi kumtania kuwa unakula sana pipi akaniambia mdogo wangu silagi vitu vya sukari hizi ni mimba.Alisema nikijifungua tu huwa nasikia meno yanauma sio kuuma kama ganzi flani mwishoe yanalegea yanayoka.

ndio hivo uchungu wake akitaka kuvunja chupa anatapika wanasema ukivunja kwa style hio utang'oa meno kama yote
 
ndio hivo uchungu wake akitaka kuvunja chupa anatapika wanasema ukivunja kwa style hio utang'oa meno kama yote

Mie wtt wangu wawil wa mwanzo nimejifungua kwa style hio lazima nitapike sana lkn nashkuru sina jino haya moja nilong’oa. Labda huyo itakua anauma sana meno wakati wa uchungu, si unajua ile ngoma ikikolea akili huwa kama zinaruka ivi wkt mwengine hujijui hata unafanya nn na wkt mwengine unajua lkn unakuwa huwezi kuji control. Mie nikipotoka kujifungua mtt wangu wa mwanzo siku ya pili nilijikuta nina turi kwenye komo na linaniuma means nilijipigiliza mahali wakati naugulia maumivu lkn hata sikukumbuka najishtukia tu nna turi tu
 
ndio hivo uchungu wake akitaka kuvunja chupa anatapika wanasema ukivunja kwa style hio utang'oa meno kama yote
ni dhahania tu,

binafsi nilivunja chupa mimba zote kwa njia Hiyo na hilo tatizo halijawahi kunipata.
 
Kichaa cha uzazi kipo na wanasema mama akijifungua ndani ya siku 42 anaweza pata so ni vyema kupimwa
Nb. Mimi sio daktari teh
 
Hivi mbona kuna watu mnapenda kupinga kila kitu? Hiyo hali inatokea na ni hatari sana kwa mama na aasipodhibitiwa anaweza kuua mtoto
Waache awa wamezoea soma gazeti za sani wanazani kila kitu ni madenge
 
Kichaa cha uzazi kipo na wanasema mama akijifungua ndani ya siku 42 anaweza pata so ni vyema kupimwa
Nb. Mimi sio daktari teh
Asante mkuu wenzio wanaona broken tu awaoni ujumbe ila naomba JF sasa hivi mtu kuchangia mada atume namba zake za nida ili tusiwe tunaangaishana na vifaranga
 
Ni hatar nliona mtu ameamka akakaa kitandani baada ya kutoka theatre but unapewa mtoto baada ya masaa 6 au zaid
 
Kitaalamu hiyo inaitwa postpartum depression. Ni msongo wa mawazo unaowapata kina mama baada ya kujifungua.

Inategemea na kinavyompata mtu Kuna wanaoumwa kidogo, kiasi na kinachozidi Hadi kufikia kudhuru mtoto ama kujidhuru mwenyewe.

Na sio mtoto wakati akiwa na mtoto mchanga tu postpartum depression inaenda Hadi miezi 6 baada ya kujifungua.

Kibongo bongo hapa hakuna elimu Wala uelewa kuhusu hii hali. Kina mama wengi Sana wanapitia utakuta mama kajifungua halafu hataki ukaribu na mtoto ama hata kumnyonyesha.

Jamii inawajudge bila kujua ni tatizo la kisaikolojia linalotakowa msaada kabla ya madhara makubwa kutokea mama kujidhuru au kudhuru mtoto.
 
Kitaalamu hiyo inaitwa postpartum depression. Ni msongo wa mawazo unaowapata kina mama baada ya kujifungua.

Inategemea na kinavyompata mtu Kuna wanaoumwa kidogo, kiasi na kinachozidi Hadi kufikia kudhuru mtoto ama kujidhuru mwenyewe.

Na sio mtoto wakati akiwa na mtoto mchanga tu postpartum depression inaenda Hadi miezi 6 baada ya kujifungua.

Kibongo bongo hapa hakuna elimu Wala uelewa kuhusu hii hali. Kina mama wengi Sana wanapitia utakuta mama kajifungua halafu hataki ukaribu na mtoto ama hata kumnyonyesha.
Jamii inawajudge bila kujua ni tatizo la kisaikolojia
Kibongo bongo hapa hakuna elimu Wala uelewa kuhusu hii hali. Kina mama wengi Sana wanapitia utakuta mama kajifungua halafu hataki ukaribu na mtoto ama hata kumnyonyesha.
linalotakowa msaada kabla ya madhara makubwa kutokea mama kujidhuru au kudhuru mtoto.
Mkuu hapa ukiambiwa maendeleo ayanaa chama sindo unazidi umia kama mimi...

2040 kama tutakua bado atujielewi mtoto asipo zaliwa kashika bendera ya chama basi ajiandae kwakosa la kutakatisha feza
 
Hahaha swali ni je umeona wangapi wakipatwa na hali hiyo?!

Binafsi ni mmoja wapo! Nilipatwa na hali wataalamu wasema ni kifafa cha Mimba kinachofuatiwa na kichaa cha mimba shortly after birth!

Kiufupi hii topic ni sahihi sana! Wazazi watarajiwa ama wazazi wachanga wako na 50% ya kupoteza na 50% ya kupata!

Mwanamke akiingizwa labor ward anatambua kabisa ule ni wakati wa kukutana na mtoa roho Ana kwa Ana! And how she fights it and survive ndio tafsiri ya uanammke wake! But still some of us get bitten along the way!

Msaada ni muhimu sana! Medical & Social!
We/They need you!
 
Kichaa cha uzazi kipo na wanasema mama akijifungua ndani ya siku 42 anaweza pata so ni vyema kupimwa
Nb. Mimi sio daktari teh

Daktari wangu alisema inachukua si chini ya miezi 12 kwa mama kurudia hali yake ya awali kabisa kabla ya mimba wala mtoto!

Nimesikia hata kisheria na kitabibu inatambulika!

“”Early in the history of medicine, it was recognized that severe mental illness sometimes started abruptly in the days after childbirth, later known as puerperal or postpartum psychosis. Gradually, it became clear that this was not a single and unique entity, but a group of at least twenty distinct disorders.””
 
Binafsi ni mmoja wapo! Nilipatwa na hali wataalamu wasema ni kifafa cha Mimba kinachofuatiwa na kichaa cha mimba shortly after birth!

Kiufupi hii topic ni sahihi sana! Wazazi watarajiwa ama wazazi wachanga wako na 50% ya kupoteza na 50% ya kupata!

Mwanamke akiingizwa labor ward anatambua kabisa ule ni wakati wa kukutana na mtoa roho Ana kwa Ana! And how she fights it and survive ndio tafsiri ya uanammke wake! But still some of us get bitten along the way!

Msaada ni muhimu sana! Medical & Social!
We/They need you!
Hahaha huo msaada unatibu kichaa cha mimba?!

Tatizo lipo ila jamaa alisimulia kama movie.

Ingawa lipo lakini sio kwa kiasi kikubwa.

Na akili unapimaje kwa huo muda mfupi na kujiridhisha hana kichaa sasa ni muda kumpa mtoto wake?
 
Hicho kilikua kichaa Cha mimba au alikua na mental illness kabla ya kujifungua au post post porterm depression?
Hakuna anae zuia mwenye mental illness kuzaa ...awe wa kike au wakiume.

Ila kwa wanao tumia Dawa za mental illness baadhi huacha wakati wa ujauzito kwa sababu ya side effects zake.

Ila kuacha Dawa kunaweza fanya mzazi anashindwa kabisa kumlea mtoto..lakini akipata Dawa SAHIHI anaendelea na maisha Kama kawaida.

Mentall illness is not a limitation, ukitumia Dawa kwa usahihi na ukafuata ushauri wa doctor.. unaweza kuishi maisha yakawaida kabis.

Mental illness Ni maradhi Kama mengine tu, msiwanyanyapae kuwabeza kuwabaka au kuwatusi wenye haya matatizo.
 
Hahaha swali ni je umeona wangapi wakipatwa na hali hiyo?!
sisi tunaoenda Leba hatuwezi kupinga hili, maana huko tunashuhudia mengi na visa kama hivi
"kichaa cha mimba +kifafa cha mimba " kisikie tu
 
Back
Top Bottom