Zikomo Songea
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 670
- 582
Sababu zinaweza kuwa ni hizi tatu:Kipindi Cha nyuma tulikuwa tuki sex anatoa Sana miguno yaani show inamchanganya kiasi Cha kwamba anaropoka maneno mengine ya ajabu.sasa mimi hiyo hali ikanifanya nijiamini zaidi kwamba namfikisha safari vizuri huyu mwenzangu.siku hizi tukifanya mambo anakaa tu kimya yaani silent kabisa.mahusiano yetu nje ya kitandani Ni kawaida tu hatujagombana tunaongea Kama kawaida Tena nikaamua kujiongeza asinishinde akili nikawa Namuonyesha manjonjo na maufundi lakini bado tu halii yale makelele ya kuchanganyikiwa ila ushirikiano ananipa Kama kawaida nikitaka gemu muda wowote ananipa.tatizo liko kwenye miguno kwanini nikimuingilia haongei chochote hata kunitaja tu jina .nimeanza kuwaza pengine simridhishi au wasiwasi wangu tu..na sioni Kama ni sahihi Mimi kumuuliza hi ishu kwamba kwanini siku hizi hulii Kama zamani?
1. Wewe umepunguza mapigo, kwa hiyo umepwaya.
2. Amekuwa (mtu mzima) kwa hiyo anaona mambo ya kupiga kelele na miguno ni utoto. Yaani amezoea mavitu.
3. Kuona jamaa anapiga kazi nzuri zaidi, kwa hiyo sifa na miguno huelekezwa kwake. Hata hivyo hii ya mwisho usiichukulie serious sana.