Mwanamke wangu kaacha kutoa miguno ya kimahaba

Ongea nae mwelezee miguno unaipenda na unapoikosa unajisikiaje
 
Kipindi Cha nyuma tulikuwa tuki sex anatoa Sana miguno yaani show inamchanganya kiasi Cha kwamba anaropoka maneno mengine ya ajabu.sasa mimi hiyo hali ikanifanya nijiamini zaidi kwamba namfikisha safari vizuri huyu mwenzangu.siku hizi tukifanya mambo anakaa tu kimya yaani silent kabisa.mahusiano yetu nje ya kitandani Ni kawaida tu hatujagombana tunaongea Kama kawaida Tena nikaamua kujiongeza asinishinde akili nikawa Namuonyesha manjonjo na maufundi lakini bado tu halii yale makelele ya kuchanganyikiwa ila ushirikiano ananipa Kama kawaida nikitaka gemu muda wowote ananipa.tatizo liko kwenye miguno kwanini nikimuingilia haongei chochote hata kunitaja tu jina .nimeanza kuwaza pengine simridhishi au wasiwasi wangu tu..na sioni Kama ni sahihi Mimi kumuuliza hi ishu kwamba kwanini siku hizi hulii Kama zamani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndio maana nilivyo kua mtoto nilikua natamani kua mkubwa dash!! Kumbe ukubwa raha
 
Atakuwa amegundua ila hana uhakika asilimia 100, so ameishiwa hamu na wewe coz alikuamini sana ndio maana akawa anafurahia sana tendo kwa mapenzi yote. Sasa ujue mapenzi yamepungua na usipokuwa makini yatabaki mazoea tu. Kuwa makini usije ukawa umemfundisha panya kula sufi... Hapo utatokea mwendo wa jino kwa jino...
Jino kwa jino masikini hali inya yake, yawezekana kagundua anachepuka na kumwambia hawezi bila kupepesa macho mapenzi hupungua
 
Sasa anaanzaje kunichoka akati pesa ninazompa nimeongeza namchapa na minoti Kama yote,zawadi kibao nambebea na tuna mipango kibao tunaindeleza
Wanawake hatutabiliki
 
Mkuu ukiwa una do nae tena jaribu kumfinya tena kama una kucha kazia zaidi lazima tu agune na kulia kabisa
 
Kipindi Cha nyuma tulikuwa tuki sex anatoa Sana miguno yaani show inamchanganya kiasi Cha kwamba anaropoka maneno mengine ya ajabu.sasa mimi hiyo hali ikanifanya nijiamini zaidi kwamba namfikisha safari vizuri huyu mwenzangu.siku hizi tukifanya mambo anakaa tu kimya yaani silent kabisa.mahusiano yetu nje ya kitandani Ni kawaida tu hatujagombana tunaongea Kama kawaida Tena nikaamua kujiongeza asinishinde akili nikawa Namuonyesha manjonjo na maufundi lakini bado tu halii yale makelele ya kuchanganyikiwa ila ushirikiano ananipa Kama kawaida nikitaka gemu muda wowote ananipa.tatizo liko kwenye miguno kwanini nikimuingilia haongei chochote hata kunitaja tu jina .nimeanza kuwaza pengine simridhishi au wasiwasi wangu tu..na sioni Kama ni sahihi Mimi kumuuliza hi ishu kwamba kwanini siku hizi hulii Kama zamani?
Zaman alikuwa anaigiza ,,,sahivi ameamua Kuwa really
 
Itakua battery imeisha charge
 
ni bora ukaanza wewe kutoa miguno ya mahaba
 
Amechoka ku.se.x mazingira yale yale,kitanda kilekile,staili zilezile,ahadi zile zile n.k; tokeni nyumbani hata wikiendi moja muende huko mahotelini(mmejengewa nyie) na mpeane staili mbalimbali;natumaini utafurahia, Jaribu kumuiga simba mnyama anavyokuwa porini kipindi cha 'breeding season'
 
Back
Top Bottom