Mwanamke wangu hanitaki

Soma kile kitabu kipya tulichopeana kwenye kile kikao chetu cha hapo majuzi.. kinaitwa Jinsi ya Kumbadirisha Mwanamke Malaya

Utanishukuru...
 
Na hizi hapa ni Sifa za Mwanamke Malaya:

Anaweza kuwa na mpenzi mmoja rasmi huku akiwa na wapenzi wengine pembeni kwa ajili ya maslahi tofauti, mmoja kwa ajili ya pesa, mwingine kwa ajili ya starehe tu kujifurahisha kingono sababu labda amempendea ndevu, na mwingine kwa ajili ya hadhi ya kijamii kutafuta status na exposure.
 
Niliwahi kuwa na demu wa hivi halafu sura mbaya TU

Ila umalaya ni tabia
 
Ni sindano dhidi ya uchawa na ujinga wa kila aina! 📌
Sawa pokea na hii ni sifa nyingine ya Mwanamke Malaya:

Anaweka Msisitizo Mkubwa Kwenye Pesa, Mali, na Zawadi​

Ingawa ni kawaida kwa wapenzi kusaidiana na kupeana zawadi, dalili ya mwanamke malaya huonekana pale ambapo masuala ya kifedha yanakuwa ndiyo nguzo kuu ya uhusiano.

Mwanamke wa aina hii atapima upendo au thamani ya mwanaume kulingana na uwezo wake wa kifedha. Mazungumzo yake mengi yatahusu shida zake za kifedha, mahitaji yake ya vitu vya anasa (simu mpya, nguo, safari), na atatumia visingizio mbalimbali kuomba pesa, huyu ni Malaya.

Uhusiano unakuwa wa kibiashara (transactional); akipata mwanaume mwenye uwezo zaidi kukuzidi wewe amepanda dau, anaweza kukuacha bila kusita (km yalivyotokea kwa mhuni huyu alieleta mada hii). Upendo kwake ni huduma inayolipwa. Huyo ndio Mwanamke Malaya.
 
Ila na wanaume sasa. Kwa nini umng'ang'anie mwanamke wa aina hii? Unakubalije kuwa na mwanamke malaya? Kosa ni la huyo malaya au wewe mwanaume uliyekomaa naye wakati unajua kabisa kuwa ni malaya? Kwa nini usimuache na kwenda kutafuta ambao siyo malaya?
 
Unakubalije kuwa na mwanamke malaya?
Sifa nyingine ya Mwanamke Malaya:

Mavazi ya Uchi na Mienendo ya Kimwili ya Kuvutia Kingono
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke anayependa mitindo na kuvaa vizuri na yule anayevaa kwa lengo la kuamsha tamaa za kingono kwa kila mwanaume anayekutana naye.

Mwanamke mwenye mwelekeo huu atapendelea mavazi yanayoacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi, yanayobana sana matako na mapaja na chuchu zake, au yanayoonesha maungo yake nyeti kwa makusudi yaan matako na uke wake uonekane kibiashara. Zaidi ya mavazi, mienendo yake, jinsi anavyotembea, anavyochezesha macho, anavyogusa wanaume anapozungumza nao, vyote vinalenga kutuma ujumbe mmoja: "Niko tayari kwa zaidi tutombane kibiashara." Hii ni mbinu ya kujiuza bila kutamka neno.
 
Mleta mada ishi hapa.
 
hayo yote ulistahili kwa hizo akili zako..hivo kusema alikutolea vitu vyako nje na kakufukuza ni wazi unaishi kwa mwanamke maanake yeye ndie analipa kodi na mahitaji ya ndani na mtoto yaani kama unalelewa tu..yaani mke anapambana kusaka pesa alafu wewe hela kidogo unayopata unaenda kunywea pombe wakati hiyo pesa kidogo unayopata si unanunua hata kilo mbili za mchele kupunguza njaa ndani ila ww unaona bora ulewe tu..kwanini asikuone mzigo tu..alafu huyo mwanamke anaonesha ni mpambanaji kwa biashara za apa na pale badala ya kumtumia kuset nae michongo we unabwetweka.. vp kama angekuwa golikipa ni wa kukaa tu ndani si ungekuwa unaokotwa kilabuni kama sio baa kwa ulevi.! yaani maisha magumu na hauna mchongo wa pesa ila ww unaona bora ulewe kujisahaulisha kwa muda kwamva upo kwenye shida.!
 
Hutamuumiza kamwe , mbona unataka kufanya hivyo na dole la Kati juu ?
 
"Don't deal with Romantic relations serious,until your financial stable serious"
Ikiwa mwanamke mmoja anaweza kukukimbia sababu umuhudumii,unaweza kua nao hata 100 sababu unawahudumia,it is the game either you learn and play or you observe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…