jamaa analelewaje na mwanamke apo ameshtuliwa ubongo aache ujinga atoke akatafute hela mtu anakulea wewe na mwanao huoni aibu?Kwani hio kumaya huyo mwanamke anamuuzia mpaka amtafutie hela akampe Malaya ambae amezaa nae ili asimuache?
si ndio hapo hela ya pombe anayo ila ya kuudumia familia hana. 😂😂Huna hela kila kitu unamtegemea yeye, ila hela ya kwenda kulewa unayo.
Hii ilishatokea kwa mwamba mmoja hatoi hata mia ni kulewa tu , kuitwa na wazee wapande mbili wakamkalisha kikao Cha kumsema yeye katulia tu lawama kibao , mwamba dakika za mwisho katoa kipande Cha karatasi Cha majibu ya vina saba watoto wote wawili kachapiwa , alitoka kifua mbele kama dame kwenye kikao , wanajumbe wakabaki kama wamemwagiwa majisi ndio hapo hela ya pombe anayo ila ya kuudumia familia hana. 😂😂
Na huyo mwamba ni weweHii ilishatokea kwa mwamba mmoja hatoi hata mia ni kulewa tu , kuitwa na wazee wapande mbili wakamkalisha kikao Cha kumsema yeye katulia tu lawama kibao , mwamba dakika za mwisho katoa kipande Cha karatasi Cha majibu ya vina saba watoto wote wawili kachapiwa , alitoka kifua mbele kama dame kwenye kikao , wanajumbe wakabaki kama wamemwagiwa maji
Basi sawaNa huyo mwamba ni wewe
Umenisaidia kuandika comment yangu mahi 😹😹Ni mpumbavu tu anaweza kuvumilia ujinga wako.
- Hujalipa mahari
- unapiga mwanamke
- mlevi
- uchumi mbovu (unalishwa, unahudumiwa umebaki kubebelea makendree tu)
Aisee 🤔Enzi hizi unapata wapi ujasiri wa kumpiga mwanamke? Tena ukiwa mlevi, uliyefulia na hujamtolea mahari? Huyo binti kakuvumilia sana tu. Ulipaswa kutupiwa virago nje siku ile ile uliponyanyua mkono wako kumzaba vibao! Na ungelala lokapu kwa siku kadhaa ili akili zikukae sawa!
View attachment 3520722
Anatia hasira sana 🤦🏽♀️Umenisaidia kuandika comment yangu mahi 😹😹
Chunga moyo kuliko vyote maana ndiyo chemchem ya uzima itakapo,run kajitafute, huna uchumi imara unaeezaje kumlazimisha muendelee kuishi pamoja hutoi matunzo halafu unakunywa pombe hela unatoa wapi za pombe au ni zake tena bora hata ungemtafuta Mungu wewe unaenda kunywa pombe tena na kumpiga kesi yako ngumu hata Mungu anakushangahabari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari.
Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi ndiye mwanaume wake WA kwanza kwenye suala la mapenzi.
Tatizo ni kwamba nimeanza kuishi naye wakati nimetoka chuo na hivyo sikuwa nimejipata kimaisha japo yeye alikuwa ana vibiashara vyake vidogo vidogo vinamuingizia kipato.
Kwahiyo ikawa rahisi sisi kuishi pamoja baada ya kumpa mimba, mtoto wetu hivi Sasa ana miaka miwili na nusu na hivi karibuni maisha yameniendea kombo sana kiasi kwamba huduma zote za nyumbani nikawa kama namtegemea yeye.
Hali iliyopelekea yeye kunambia kuwa amechoka anaomba nimpishe na mtoto kwa muda, japo sikuondoka lakini kauli hiyo ilinichanganya sana akili na kunipa mawazo kiasi kwamba nikajikuta natumbukia kwenye ulevi.
Siku Moja nilimkuta amesimama na mwanaume aisee na nilikuwa nimelewa hivyo sikujipa muda wa kutafakari ikapelekea nimpige kibao mpaka wazazi wake yaani baba ake akaja kumchukua namimi ikabidi nirudi kwetu kwa muda kupumzisha akili.
Sasa ni hivi kesho yake baada ya kurudi kwangu nikakuta ameniwekea mizigo yangu yote nje akimaanisha haitaji tena kuishi na mimi, aisee nliondoka lakini baadae nimeanza kumtafuta kumuomba msamaha kanikataa kata kata na kunitishia nikiendelea kumsumbua ataniblock na nisisikie kabisa kuhusu mwanangu tena.
Naombeni ushauri kwakweli roho inaniuma sana sikuwa tayari kuipoteza familia yangu kwa wakati huu nampenda sana mwanamke wangu pamoka na mwanangu siku ya tatu Leo nakosa usingizi mawazo yamenijaa Sina Raha ya kuishi kabisa.
MEMBER MWENZETU ANAOMBA USHAURI
KUTOKA WANAUME UNION.
naamini atapata ushauri sahihi wakuu.
Sema ukweli siyo kwamba pombe imekuwa sehemu ya Maisha yako hata kabla ya haya!!!habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari.
Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi ndiye mwanaume wake WA kwanza kwenye suala la mapenzi.
Tatizo ni kwamba nimeanza kuishi naye wakati nimetoka chuo na hivyo sikuwa nimejipata kimaisha japo yeye alikuwa ana vibiashara vyake vidogo vidogo vinamuingizia kipato.
Kwahiyo ikawa rahisi sisi kuishi pamoja baada ya kumpa mimba, mtoto wetu hivi Sasa ana miaka miwili na nusu na hivi karibuni maisha yameniendea kombo sana kiasi kwamba huduma zote za nyumbani nikawa kama namtegemea yeye.
Hali iliyopelekea yeye kunambia kuwa amechoka anaomba nimpishe na mtoto kwa muda, japo sikuondoka lakini kauli hiyo ilinichanganya sana akili na kunipa mawazo kiasi kwamba nikajikuta natumbukia kwenye ulevi.
Siku Moja nilimkuta amesimama na mwanaume aisee na nilikuwa nimelewa hivyo sikujipa muda wa kutafakari ikapelekea nimpige kibao mpaka wazazi wake yaani baba ake akaja kumchukua namimi ikabidi nirudi kwetu kwa muda kupumzisha akili.
Sasa ni hivi kesho yake baada ya kurudi kwangu nikakuta ameniwekea mizigo yangu yote nje akimaanisha haitaji tena kuishi na mimi, aisee nliondoka lakini baadae nimeanza kumtafuta kumuomba msamaha kanikataa kata kata na kunitishia nikiendelea kumsumbua ataniblock na nisisikie kabisa kuhusu mwanangu tena.
Naombeni ushauri kwakweli roho inaniuma sana sikuwa tayari kuipoteza familia yangu kwa wakati huu nampenda sana mwanamke wangu pamoka na mwanangu siku ya tatu Leo nakosa usingizi mawazo yamenijaa Sina Raha ya kuishi kabisa.
MEMBER MWENZETU ANAOMBA USHAURI
KUTOKA WANAUME UNION.
naamini atapata ushauri sahihi wakuu.
Malizia basi hii nawewe aaaaaahHii ilishatokea kwa mwamba mmoja hatoi hata mia ni kulewa tu , kuitwa na wazee wapande mbili wakamkalisha kikao Cha kumsema yeye katulia tu lawama kibao , mwamba dakika za mwisho katoa kipande Cha karatasi Cha majibu ya vina saba watoto wote wawili kachapiwa , alitoka kifua mbele kama dame kwenye kikao , wanajumbe wakabaki kama wamemwagiwa maji
Itaendelea ,nimekumisi ila naogopa kusemaMalizia basi hii nawewe aaaaaah