Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,980
jamaniiiiiii kwanini uogope rafikiiiiiiiItaendelea ,nimekumisi ila naogopa kusema
jamaniiiiiii kwanini uogope rafikiiiiiiiItaendelea ,nimekumisi ila naogopa kusema
Nakumbuka vizuri Ile siku😅 acha tu nikumis kwa mbalijamaniiiiiii kwanini uogope rafikiiiiiii
Mbona nilishaomba msamaha na ukasema umenisamehe🥺,nilkua na stress za kujinyonga aseee sitaki hata kukumbuka🙌🏾Nakumbuka vizuri Ile siku😅 acha tu nikumis kwa mbali
Nimekusamehe ila tupendane kwa mbali kwa sababu niliumia sana😅Mbona nilishaomba msamaha na ukasema umenisamehe🥺,nilkua na stress za kujinyonga aseee sitaki hata kukumbuka🙌🏾
hapana tupendane ya kikweli sababu,nishapona na sirudii tena kua na zile stress 😂😂ila mapenzi matako yake.Nimekusamehe ila tupendane kwa mbali kwa sababu niliumia sana😅
Tukutafutie basha uolewe sharti ni kuongeza ulevihabari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari.
Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi ndiye mwanaume wake WA kwanza kwenye suala la mapenzi.
Tatizo ni kwamba nimeanza kuishi naye wakati nimetoka chuo na hivyo sikuwa nimejipata kimaisha japo yeye alikuwa ana vibiashara vyake vidogo vidogo vinamuingizia kipato.
Kwahiyo ikawa rahisi sisi kuishi pamoja baada ya kumpa mimba, mtoto wetu hivi Sasa ana miaka miwili na nusu na hivi karibuni maisha yameniendea kombo sana kiasi kwamba huduma zote za nyumbani nikawa kama namtegemea yeye.
Hali iliyopelekea yeye kunambia kuwa amechoka anaomba nimpishe na mtoto kwa muda, japo sikuondoka lakini kauli hiyo ilinichanganya sana akili na kunipa mawazo kiasi kwamba nikajikuta natumbukia kwenye ulevi.
Siku Moja nilimkuta amesimama na mwanaume aisee na nilikuwa nimelewa hivyo sikujipa muda wa kutafakari ikapelekea nimpige kibao mpaka wazazi wake yaani baba ake akaja kumchukua namimi ikabidi nirudi kwetu kwa muda kupumzisha akili.
Sasa ni hivi kesho yake baada ya kurudi kwangu nikakuta ameniwekea mizigo yangu yote nje akimaanisha haitaji tena kuishi na mimi, aisee nliondoka lakini baadae nimeanza kumtafuta kumuomba msamaha kanikataa kata kata na kunitishia nikiendelea kumsumbua ataniblock na nisisikie kabisa kuhusu mwanangu tena.
Naombeni ushauri kwakweli roho inaniuma sana sikuwa tayari kuipoteza familia yangu kwa wakati huu nampenda sana mwanamke wangu pamoka na mwanangu siku ya tatu Leo nakosa usingizi mawazo yamenijaa Sina Raha ya kuishi kabisa.
MEMBER MWENZETU ANAOMBA USHAURI
KUTOKA WANAUME UNION.
naamini atapata ushauri sahihi wakuu.
Hahaha si ulinitosa acha wakuumize gademitthapana tupendane ya kikweli sababu,nishapona na sirudii tena kua na zile stress 😂😂ila mapenzi matako yake.
Aaaah we acha tu,,ila nisamehe tu mie,sina hamuHahaha si ulinitosa acha wakuumize gademitt
Mwanamke akikutaa ni sawa na kumaliza MKOPO wa Bank ,shukuru kwa hilo.habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari.
Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi ndiye mwanaume wake WA kwanza kwenye suala la mapenzi.
Tatizo ni kwamba nimeanza kuishi naye wakati nimetoka chuo na hivyo sikuwa nimejipata kimaisha japo yeye alikuwa ana vibiashara vyake vidogo vidogo vinamuingizia kipato.
Kwahiyo ikawa rahisi sisi kuishi pamoja baada ya kumpa mimba, mtoto wetu hivi Sasa ana miaka miwili na nusu na hivi karibuni maisha yameniendea kombo sana kiasi kwamba huduma zote za nyumbani nikawa kama namtegemea yeye.
Hali iliyopelekea yeye kunambia kuwa amechoka anaomba nimpishe na mtoto kwa muda, japo sikuondoka lakini kauli hiyo ilinichanganya sana akili na kunipa mawazo kiasi kwamba nikajikuta natumbukia kwenye ulevi.
Siku Moja nilimkuta amesimama na mwanaume aisee na nilikuwa nimelewa hivyo sikujipa muda wa kutafakari ikapelekea nimpige kibao mpaka wazazi wake yaani baba ake akaja kumchukua namimi ikabidi nirudi kwetu kwa muda kupumzisha akili.
Sasa ni hivi kesho yake baada ya kurudi kwangu nikakuta ameniwekea mizigo yangu yote nje akimaanisha haitaji tena kuishi na mimi, aisee nliondoka lakini baadae nimeanza kumtafuta kumuomba msamaha kanikataa kata kata na kunitishia nikiendelea kumsumbua ataniblock na nisisikie kabisa kuhusu mwanangu tena.
Naombeni ushauri kwakweli roho inaniuma sana sikuwa tayari kuipoteza familia yangu kwa wakati huu nampenda sana mwanamke wangu pamoka na mwanangu siku ya tatu Leo nakosa usingizi mawazo yamenijaa Sina Raha ya kuishi kabisa.
MEMBER MWENZETU ANAOMBA USHAURI
KUTOKA WANAUME UNION.
naamini atapata ushauri sahihi wakuu.
Matusi yote yale mara Nina kibamia mara Sina hela sijawahi kukupa hata mia mbovu , Tena kwenye halaiki Kama hii , pendoo nakupenda ila kukurudia hapana asee😅Aaaah we acha tu,,ila nisamehe tu mie,sina hamu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾alokuteka wakat tunakutafuta humu,, tafadhali akuchukue tenaMatusi yote yale mara Nina kibamia mara Sina hela sijawahi kukupa hata mia mbovu , Tena kwenye halaiki Kama hii , pendoo nakupenda ila kukurudia hapana asee😅
Nimekusamehe pendoo najua ni stress tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾alokuteka wakat tunakutafuta humu,, tafadhali akuchukue tena
That’s your perspectiveChildish 🚮
sioendi sana mzeeKama unawapenda sana,tafuta hela kwa namna yoyote ile
Hela ndo mwanaume
Nilimteka mimi na simu yake nikaichukua, ila hawezi kuja kusema humu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾alokuteka wakat tunakutafuta humu,, tafadhali akuchukue tena
DoohNi mpumbavu tu anaweza kuvumilia ujinga wako.
- Hujalipa mahari
- unapiga mwanamke
- mlevi
- uchumi mbovu (unalishwa, unahudumiwa, umebaki kubebelea makendree tu)
Kumbe ulikua unanichezea tu aseeeNilimteka mimi na simu hake nikaichukua, ila hawezi kuja kusema humu 😂
Nimekurudishia mamie sasa zamu yako 😅!
Asee...ukweli mchungu🤣🤣Ushauri wangu hujaachwa.
Tafuta pesa Familia yako utaikuta tuu
Ukitaka tena uje tu, nyumbani ushapajua na masharti yangu ni yale yale 😎Kumbe ulikua unanichezea tu aseee
Kwahiyo maskini hana chake?Ukiwa maskini usiwe na wivu na kujishtukia shukia.