Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,402
- 3,180
- Thread starter
- #21
That’s your perspectiveChildish 🚮
That’s your perspectiveChildish 🚮
Unajipooza machungu na kitimoto bariiidi... huyo ni MalayaSawa atakuja kuona ushauri wako hapa
Wote ni wapumbavu tena haswa mwanamke , unakubali vipi kuwa na mtoto na hujaolewa🔥🔥
Hio sindano ya kuchoma Mbuzi au Nguruwe?Childish đźš®
Niliwahi kuwa na demu wa hivi halafu sura mbaya TUNa hizi hapa ni Sifa za Mwanamke Malaya:
Anaweza kuwa na mpenzi mmoja rasmi huku akiwa na wapenzi wengine pembeni kwa ajili ya maslahi tofauti, mmoja kwa ajili ya pesa, mwingine kwa ajili ya starehe tu kujifurahisha kingono sababu labda amempendea ndevu, na mwingine kwa ajili ya hadhi ya kijamii kutafuta status na exposure.
Malaya ni Malaya tu usimsingizie tabia...Niliwahi kuwa na demu wa hivi halafu sura mbaya TU
Ila umalaya ni tabia
Kwani hio kumaya huyo mwanamke anamuuzia mpaka amtafutie hela akampe Malaya ambae amezaa nae ili asimuache?tafuta hela bro tafuta kipato familia yako itarudi tuu ila huwezi kukwepa kuchapiwa hapa katikati ila jikaze
Ni sindano dhidi ya uchawa na ujinga wa kila aina! 📌Hio sindano ya kuchoma Mbuzi au Nguruwe?
Sawa pokea na hii ni sifa nyingine ya Mwanamke Malaya:Ni sindano dhidi ya uchawa na ujinga wa kila aina! 📌
Ila na wanaume sasa. Kwa nini umng'ang'anie mwanamke wa aina hii? Unakubalije kuwa na mwanamke malaya? Kosa ni la huyo malaya au wewe mwanaume uliyekomaa naye wakati unajua kabisa kuwa ni malaya? Kwa nini usimuache na kwenda kutafuta ambao siyo malaya?Sawa pokea na hii ni sifa nyingine ya Mwanamke Malaya:
Anaweka Msisitizo Mkubwa Kwenye Pesa, Mali, na Zawadi
Ingawa ni kawaida kwa wapenzi kusaidiana na kupeana zawadi, dalili ya mwanamke malaya huonekana pale ambapo masuala ya kifedha yanakuwa ndiyo nguzo kuu ya uhusiano.
Mwanamke wa aina hii atapima upendo au thamani ya mwanaume kulingana na uwezo wake wa kifedha. Mazungumzo yake mengi yatahusu shida zake za kifedha, mahitaji yake ya vitu vya anasa (simu mpya, nguo, safari), na atatumia visingizio mbalimbali kuomba pesa, huyu ni Malaya.
Uhusiano unakuwa wa kibiashara (transactional); akipata mwanaume mwenye uwezo zaidi kukuzidi wewe amepanda dau, anaweza kukuacha bila kusita (km yalivyotokea kwa mhuni huyu alieleta mada hii). Upendo kwake ni huduma inayolipwa. Huyo ndio Mwanamke Malaya.
Sababu ni kukojoa tu sio kingine..Kwa nini umng'ang'anie mwanamke wa aina hii?
Sifa nyingine ya Mwanamke Malaya:Unakubalije kuwa na mwanamke malaya?
Mleta mada ishi hapa.Ushauri wangu: Mwanaume halii hata iweje.. nazungumza nikiwa na experience ya Ungariba unapigwa kisu kwenye govi bila ganzi na unaambiwa usilie na haulii ukilia unajivua uanamume kwa hio inabidi ugugumie maumivu tu ndani kwa ndani.. mwanaume halii umeanguka simama wima futa vumbi mwanaume tembea mbele atakutafuta yeye mwenyewe ukishajipata
Hutamuumiza kamwe , mbona unataka kufanya hivyo na dole la Kati juu ?Enzi hizi unapata wapi ujasiri wa kumpiga mwanamke? Tena ukiwa mlevi, uliyefulia na hujamtolea mahari? Huyo binti kakuvumilia sana tu. Ulipaswa kutupiwa virago nje siku ile ile uliponyanyua mkono wako kumzaba vibao! Na ungelala lokapu kwa siku kadhaa ili akili zikukae sawa!
View attachment 3520722
"Don't deal with Romantic relations serious,until your financial stable serious"habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari.
Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi ndiye mwanaume wake WA kwanza kwenye suala la mapenzi.
Tatizo ni kwamba nimeanza kuishi naye wakati nimetoka chuo na hivyo sikuwa nimejipata kimaisha japo yeye alikuwa ana vibiashara vyake vidogo vidogo vinamuingizia kipato.
Kwahiyo ikawa rahisi sisi kuishi pamoja baada ya kumpa mimba, mtoto wetu hivi Sasa ana miaka miwili na nusu na hivi karibuni maisha yameniendea kombo sana kiasi kwamba huduma zote za nyumbani nikawa kama namtegemea yeye.
Hali iliyopelekea yeye kunambia kuwa amechoka anaomba nimpishe na mtoto kwa muda, japo sikuondoka lakini kauli hiyo ilinichanganya sana akili na kunipa mawazo kiasi kwamba nikajikuta natumbukia kwenye ulevi.
Siku Moja nilimkuta amesimama na mwanaume aisee na nilikuwa nimelewa hivyo sikujipa muda wa kutafakari ikapelekea nimpige kibao mpaka wazazi wake yaani baba ake akaja kumchukua namimi ikabidi nirudi kwetu kwa muda kupumzisha akili.
Sasa ni hivi kesho yake baada ya kurudi kwangu nikakuta ameniwekea mizigo yangu yote nje akimaanisha haitaji tena kuishi na mimi, aisee nliondoka lakini baadae nimeanza kumtafuta kumuomba msamaha kanikataa kata kata na kunitishia nikiendelea kumsumbua ataniblock na nisisikie kabisa kuhusu mwanangu tena.
Naombeni ushauri kwakweli roho inaniuma sana sikuwa tayari kuipoteza familia yangu kwa wakati huu nampenda sana mwanamke wangu pamoka na mwanangu siku ya tatu Leo nakosa usingizi mawazo yamenijaa Sina Raha ya kuishi kabisa.
MEMBER MWENZETU ANAOMBA USHAURI
KUTOKA WANAUME UNION.
naamini atapata ushauri sahihi wakuu.