Mwanamke wangu hana siri, yaani asisikie kitu!

Mwanamke wangu hana siri, yaani asisikie kitu!

Kama ulijua hana siri nawe ulitakiwa ukae na hiyo siri kitendo cha wewe kusema siri ya mwenzio kuwa hana siri ni dhahiri kuwa we pia huna siri
 
Umemzoesha,unajua kabisa sio mtunza siri na unamwambia.acha kumpa siri zako kaa nazo mwenyewe yakikushinda shirikisha ndugu yako unayemuamini.
 
Wanasema mwanamke anaweza kutunza siri kwa muda gani vileeee!!! Kwahiyo akiitoa sio kosa lake bali ni muda wa kuitunza umeisha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nawe hukosagi majibu ya mwendokasii[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Sio wote wenye kushindwa kuitunza siri. Nadhani huyo mkeo kazoea maisha ya kukaa vibarazani ndio mana kila analolipata lazima alifikishe kwa mashoga zake.
Hebu mfunze kuwa bize na mambo yake kama hana shughuli ya kufanya atulie japo ndani aangalie tv nadhani ndio inaweza ikawa dawa.
 
Mbona wewe ulishindwa kuzitunza hadi ukamwambia?
Na ukashindwa kutunza kuwa hawezi kutunza siri hadi umekuja kutuambia na sisi!!
mkuu kwani umejua ni siri gani niliyomwambia?

Ata ivyo ni kawaida ye ni mke wangu kwaiyo lazima ajue ninachojua mimi!
 
hapana kuna vitu vya kusema kwa watu wengine ama majirani, kama ishu za matatizo ili apate msaada kwa ndugu

*Lakini maswala ya privacy za kwenu kuhusu mlichofanya Jana usiku hapana haitakiwi kama yuko hivyo, na kama yupo hivyoo, huyo kungwi wake usikute walisoma na kipindi hichoo kwa hiyoo Hamna jipya kati yaoo
 
We mwenyewe huna siri unaanzaje kusema siri za mwenzio hapa kuwa hana siri
Hii sio siri mkuu!
siri ni ile niliyomwambia na anaieneza, na hapa nimeitunza sijaiweka hadharani
 
mkuu kwani umejua ni siri gani niliyomwambia?

Ata ivyo ni kawaida ye ni mke wangu kwaiyo lazima ajue ninachojua mimi!
Kuna jamaa alinipa story, mke wake yeye haweki siri za mashost pia, sikumoja anarudi nyumbani anakuta wife yuko katikati ya kisuto, alifukuza genge lote akamchukua mke wake wakaingia ndani.
 
mkuu kwani umejua ni siri gani niliyomwambia?

Ata ivyo ni kawaida ye ni mke wangu kwaiyo lazima ajue ninachojua mimi!
We mwenyewe hujui kutunza siri, mbona siri za mkeo unazitoa sasa!!
Ngoma drow.
 
Kuna mwanajukwaa mmoja nadhani jana kaorodhesha tabia zote za wanawake. Kwa hiyo tabia za mkeo nakubaliana na watu wanaosema akil ya mwanamke ni sawa na ya mtoto mdogo.
 
Back
Top Bottom